Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa, Kitila Mkumbo amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia nchini nakwamba haitakuwa kikwazo kwao katika shughuli zake za kuleta...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Raia wa Uganda aliyeingia Tanzania na kupiga picha stendi ya mabasi yaendayo mikoani na nchi za jirani ya Magufuli, amewafanya raia wa nchi yake wapagawe kulingana na uzuri wa stendi hiyo!, raia...
26 Reactions
111 Replies
7K Views
MJINI ISHI KIMKAKATI LA SIVYO UTAISHIA KUZURURA NA KUTUMIKISHWA TU😔 Wimbi la vijana kupenda kuishi mijini hasa kwenye miji mikubwa lipo Duniani kote na hii ni kutokana na ukweli kuwa mijini...
5 Reactions
5 Replies
385 Views
Kichwa cha Habari ni Ujumbe niliotumiwa na Rafiki yangu Mzee Mgaya akiwa Lugalo - Kilolo Kwamba Wachungaji wa Siku Hizi wengine ni CHAWA na wengine ni watafuta Sadaka Hizi ni zama za Uovu tuwe...
7 Reactions
18 Replies
535 Views
ULEGA AANIKA FAIDA MKUTANO WA OACPS Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kufanyika kwa mkutano wa OACPS nchini Tanzania kutasaidia kuweka mikakati madhubuti ya kuinua sekta ya uvuvi...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Hingera akiwa anaongea leo kuhusu vibali vya kuuza mahindi nje ya nchi nikitaka nimeona aibu mimi. Amesema eti hivyo vibali ni Null and valid" badala ya...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Leo Julai 9, 2024 saa tatu asubuhi kwa saa New York Marekeni, Kampuni ya NALA iliyoanzishwa na Kijana Mtanzania Benjamin Fernandes, imetangazwa kwenye soko la hisa la Marekani NASDAQ kupata...
37 Reactions
156 Replies
15K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi...
1 Reactions
1 Replies
174 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Maafisa wa Wizara hizo Septemba 07, 2024 wamewasili jiji la Seoul...
0 Reactions
2 Replies
313 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali haitavumilia ukiukwaji wa haki za Binadamu na hatua zitachukuliwa kwa yeyote atakayebaini kuhusika na tukio la mauaji ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Namkumbuka Mzee Maeda...alikuwa na majumba na mabasi ya Kilimanjaro Bus Service (1967) Ltd. Yeye na mkewe walikuwa ni wachapa kazi balaa...mzee yuko stand anabeba mizigo kama kuli na kuipandisha...
16 Reactions
16 Replies
2K Views
Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024. Waliouawa ni...
2 Reactions
75 Replies
5K Views
Ukipitia barabara ya Arusha-Kiteto(Manyara) kupitia Orkesumet(Simanjiro) ni mbaya sana, basi linajaa kuanzia Arusha ni kukanyagana ni afadhali miaka kabla ya uhuru. Upande wa pili barabara...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Ukiangalia muvi za Kimarekani unakutana na miji tofauti... Mfano.. Hogwarts muvi za Harry Potter. Asgard muvi za Thor. The Land of Oz. Pandora muvi za Avatar. Narnia muvi za Narnia. Super Mario...
1 Reactions
8 Replies
647 Views
Sehemu za ibada sio sehemu za kuhubiriana kwa jazba. Kuna mwanamama anahubiri kama anatufokea au anataka kulia, af hajui kua watu hawamuelewi hata anachoongea zaidi ya emotional tu. Mahuburi...
6 Reactions
26 Replies
543 Views
Starlink’s high-speed, low-latency internet is now available in Zimbabwe!, latest coverage till now!, below ⏬ -Tanzania tunangoja nini?, at the same time, kwa nini haipo South Africa?,
2 Reactions
14 Replies
485 Views
Vijana wengi au watu wengi wanazani mafanikio au kuufikia utajiri ni kitendo kigumu kumbe sivyo, mafanikio ni simpo sana ukiufuata ila hamzingatii lugha za maneno yake tena hakuna kitu chepesi...
-1 Reactions
2 Replies
190 Views
Gamboshi/Gambosi na Nadharia ya uchawi. Kijiji cha Gambosi(Gamboshi) ni moja wapo ya kijiji ndani ya kata ya Gambosi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Jina halisi la kijiji hicho ni Gambosi wala...
7 Reactions
66 Replies
11K Views
Waungwana mtandao wa X umezimwa @ TZ au ni mimi tu. Make kwa muda sasa najaribu kufungua lakini hamna kitu. Mwenye taarifa za ziada tafadhari. Soma Pia: Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa...
2 Reactions
13 Replies
546 Views
Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na...
7 Reactions
57 Replies
958 Views
Back
Top Bottom