Makutano ya lumumba na mkunguni, nikiwa naendesha pikipiki ghafla katikati ya bara bara nikavamiwa na bajaji mbili, moja mbele moja nyuma
Wakashuka watu wanne na kuchukua funguoza pikipiki huku...
Habari wadau,kama kichwa cha habari hapo juu kinajieleza ni muda toka amestaafu ila sijasikia taarifa zake, kwa sasa yuko wapi?
Mlioko Songea mnijuze hilo kwani kabla alikuwa jimbo la Iringa.
Mods ole wenu mfute huu uzi.
Mimi kama kinara wa maandamano haya nasema hivi, vitendo vya utekaji, mauaji na unyanyasaji wa ndugu zetu vinaonesha jinsi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vilivyo...
Hellow JF.
Hivi sasa jamii zetu zinapitia wakati mgumu sana katika swala la malezi na makuzi ya watoto ukilinganisha na jamii za miaka ya yuma.
Hivi leo kumekuwa na visa vingi sana mitaani...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimekereka sana na huu uongo kwenye hii movie
Yaani nashuhudia kabisa Stelingi katandikwa risasi kisogoni lakini amepona na akawatembezea kichapo maàdui zake!
Risasi ya...
Habari, karibu Tanga, huko wanapaita TA, Tanga rahaa na mahali pekee hapa Tanzania kwenye sifa ya kuwa nyumbani alipozaliwa bwana Mapenzi!!..
Mwanzoni kabisa mwa mwaka huu nilibahatika...
Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje?
JamiiCheck fanyeni utafiti mje na...
Hakuna kitu kinakera watu kama kupita sehemu na kukutana na harufu kali ya maji machafu, iwe kwenye shimo, mtaro au darajani.
Hapa Mwanza, Mamlaka ya Maji Taka mmekuwa na utamaduni mbaya sana wa...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote.
Elewa kuna...
Ni hivi serikali imeweka IVF ni upandikizaji wa mimba.
Sasa kwa wale wazee walioa vigoli na hamuwezi kumpa mwanadada mimba natural way basi unaweza peleka mbegu zako akawekewe mtoto ulee wajukuu...
Wakuu hii rangi imelaaniwa .
Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna.
Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho...
Kwa masikitiko makubwa ni fedhea kwa kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa Virutubisho (Supplements) na bidhaa za usafi kama NeoLife kushindwa kuhifadhi Tarifa binafsi za wateja wake kama...
Hivi nani aliipa hadhi Tanga kuwa jiji? Hivi nikuulize Kati ya Tanga na kahama wapi kuna mishemkshe? Jibu ni kahama Sasa Kwanini mpaka Leo kahama imebakia kuwa wilaya? Kiukweli sijaona mkoa au...
Unakuta mwanafunzi wa Shule iliyoko kabisa mjini(Dar) wa kidato cha NNE anaulizwa Jua ni Sayari ya ngapi anajibu ya tatu, mwingine akasema ya pili.
Wengine wakaulizwa Amiri Jeshi mkuu wa Awamu ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imezitaka Halmashauri zote nchini kutotumia Shule za "English Medium" za Serikali kama vyanzo vya mapato.
Mwenyekiti wa kamati hiyo ya...
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani...
Wachoraji wa picha za Yesu akiwa msalabani mnatakiwa kuelewa historia ya ile adhabu ya kifo enzi zile. Misumari ilikuwa inapigwa hapo mahali unapovaa saa ya mkononi siyo katikatiya kiganja kama...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma kwenye sekta ya Ardhi kwa Watanzania katika maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha kila kipande cha ardhi kinapangwa, kinapimwa...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Masasi bwana Hashim Hashim amesema Mji wake una Kiu ya Kuwa Manispaa kwani Wana vigezo hivyo wanatarajia kuanza kutuma maombi mapema na Kupitia hatua zote Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.