Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MOVEMENT YA HIP HOP KUPITIA MEDIA ZA MWANZA. Mwanza kupitia Radio Free Africa na Kiss FM walifanya mapinduzi makubwa sana kwenye kuiendeleza Hip hop na hii waliifanya makusudi ili kutoa ile dhana...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Dar Lux, kampuni inayojulikana katika sekta ya usafiri, imeamuriwa kurejesha kiasi cha Sh18 bilioni kutoka Benki ya Equity, pamoja na riba. Hali hii inadhihirisha changamoto kubwa ambayo kampuni...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimekuja ona watu wengi humu ndani wanadhani kama kutoa zaka unamtolea mwanadam jambo ambalo linawakwamisha kwa kuhisi wanamnufaisha mchungaji ama kiongozi wa kanisani ama dhehebu fulani.
5 Reactions
17 Replies
325 Views
Kama hujawahi kuishi nyumba za kupanga (kwa muktadha huu chumba kimoja) hasa uswazi utakuwa umekosa mengi sana. Wengi wetu tumeanzia maisha kwenye chumba kimoja kabla ya kupanga nyumba nzima na...
77 Reactions
813 Replies
190K Views
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema miongoni mwa maeneo ya vipaumbele vya Wizara chini ya Mfumo wa Anwani za Makazi ni kushiriki kikamilifu katika kukuza...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu. Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one"...
24 Reactions
96 Replies
5K Views
1. Chai (uongo) asili yake ni nini ? 2. Kwanini mliwaza chai pale mtu anaposema uongo ? 3. Kwani chai na uongo vina uhusiano gani ? NB: Nasikia ubongo wa binadamu unaogelea kwenye fluid fulani...
6 Reactions
28 Replies
537 Views
Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira, tafadhali soma kwa makini na fuata maelekezo! Muwe na siku njema
1 Reactions
1 Replies
456 Views
Kutokuwa na utawala bora hii ni changamoto sana maana viongozi hawawajibiki na yale wayatendayo. Mipango mibovu kwa mfano sasa ivi CNG ingekuwa nishati ya kutukomboa na kupunguza mzigo kwa nchi...
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Habari wadau. Awali ya yote niwape pole na majukumu yenu ya kila siku kwa ujumla wenu. Pili niwashukuru wale wote ambao kwa namna moja au nyingine baada ya post yangu hapa juu ya MWILI KUPIGA...
2 Reactions
3 Replies
226 Views
Kwenye maeneo mengi ya biashara za vyakula hasa migahawa ya ukubwa wa kati na midogo pamoja na sehemu nyingi za nyama huwa kunakuwa na nzi wengi sana waliojaa kila mahali. Yani mtu unakula...
3 Reactions
16 Replies
444 Views
Habari wadau.kwenye maishaa yangu ya utafutaji nlifanikiwa kujifunza baadh ya vitu kutoka kwa wenzet wazungu@hapa kwenye mzunguu namaanishaa mjeruman ndo nlifanya nae kaz.ila anaezaa kua Mzungu...
75 Reactions
129 Replies
10K Views
Wakuu naomba kujua jinsi ya kumwita jini live na kuongea nae kwa njia za short cut na akaja🙏🏽.
5 Reactions
32 Replies
429 Views
Hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inatarajiwa kufanyika siku Sita kutoka leo yaani Septemba 21, 2024. Mwaka huu 2024, Washiriki wameonesha uwezo wa juu katika...
6 Reactions
6 Replies
555 Views
Habari WanaForums Ni jambo ambalo nimelifikiria tu kuwa inakuwaje kama wanachuo au wasomi waliopitia chuo katika course zote kuanzisha chama cha kisiasa ambacho kitajumuisha ngazi zote za elimu...
10 Reactions
25 Replies
392 Views
Habari. Kama kila siku vyombo vya dola vinatuhamasisha wananchi tuweze kulinda Amani ya nchi Yetu. Lakini Hali hii kwa hivi karibuni nchini mwetu imekuwa kitu cha tofauti na kuleta sitofahamu...
1 Reactions
13 Replies
605 Views
Sina la kufanya zaidi ya kukata ticket ya kesho kwenye Basi lenye Camera Kumbe swala la Utekaji ni mtambuka ona hasara ninayoingia Sasa 🐼 Na nyie Latra wekeni utaratibu Mabasi ya Daraja la...
2 Reactions
22 Replies
902 Views
Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka...
14 Reactions
59 Replies
1K Views
Back
Top Bottom