Kuna kanisa limejengwa chini ya dirisha langu. Usiku na mchana, linapiga kwaya kwa kutumia mabomba katika ibada zao. Wao hawajali kama watu wanalala au wako macho; wanashikilia ibada yao kuwa...
Habari,
Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano...
MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi...
Hali tete , familia watendewe haki ni zaidi ya mwaka sasa , vyombo vya usalama vifanye juhudi za ziada .
https://youtu.be/6onwxmeYfDE?si=qYODv9dKxBE-9040
Moja kwa moja kwenye mada, ivi karibuni nimebahatika kuoa, Tumefanya sherehe ya harusi na alhamdillilah tumechangiwa kiasi kisichopungua milioni 10.
Nilikua na nataka Kuongeza pesa kidogo iingie...
Hawa watu unaweza kuta kuanzia Babu, Bibi, wajomba, Mama wadogo, watoto, Wajukuuu, wote wanaishi nyumba moja na kwa upendo mkubwa mno.
Wabongo hii haiwezekani kabisa, make kusengenyana...
Habarini ndugu, Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Mzee wangu, nimeamua kushare story hii fupi inayohusu jambo ambalo lilimkuta enzi za uhai wake.
Kama ilivyo kawaida katika jamii zetu, mtu...
Hivi Majuzi niliona nimeamka kutoka usingizini lakini cha kushangaza nilijiona bado nipo kitandani nimelala.
nilijaribu kujiamsha lakini sikuamka, basi nikapotezea. Nikaamua nitoke nje niende...
Kwa sasa nchi yetu au tuseme dunia kifo kipo nje nje ni suala la kumtegemea tu Mungu wako ila yako mambo ya kuzingatia.
1. Achana kabisa na wake au waume za watu.hata wanawake wamekuwa wakatili...
Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya...
Salaam, shalom!!
Nimesoma kitabu kimoja kinaenda Kwa Jina la (Waebrania 7:3), kwamba Kuna mtu anaitwa MELKIZEDEKI, Ambaye amefananishwa na YESHUA / YESU/JESUS,Kwa sifa zake, kwamba Hana baba wala...
Habari zenu wana JF. Natumaini mu wazima wa Afya. Naomba niende direct kwenye mada tajwa. Mkoa wa Rukwa ni mkoa ambao asilimia 60 ya mapato yanatokana na kilimo. Mkoa una Ardhi nzuri na mvua zake...
Hahaa nimejitutumua utazan bei najua ya kufungiwa mita private hapa ofisin. Wakuu nipeni Raman hapa salon hichi kifaa mita kufungiwa hapa ofisi bei gani? Pesa hazinifikii kwa wakati huku dogo...
Zimesalia Siku 5 tuu kuelekea Septemba 21, 2024, Usiku Maalum wa Hafla ya Utoaji wa Tuzo kwa Washindi wa awamu ya 4 wa Shindano la Stories Of Change
Kupitia Maandiko yao, Mwaka huu Washiriki...
Kwenye mpira kuna matokeo matatu kushinda kushindwa na kutoa sare.cha ajabu yangs sikumbuki mara ya mwisho imefungwa lini tokea mwaka huu uanze nahisi kama imefungwa mara mbili tu au tatu..mwenye...
Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla...
Amina alikodolea macho skrini iliyopasuka ya simu yake ya mkononi, akijaribu kusoma ujumbe wa hivi karibuni kutoka kwa binamu yake, Lin, aliyeko ng'ambo ya dunia huko Shanghai. Jua lilipokuwa...
Leo ni mwanzo wa hearing ya man shitty kutokana tuhuma zao za kitapeli tapeli katika soka.
Unaweza kununua makombe lakini hauwezi kununua historia na class.
Ndio maana nabaki kusema man utd...
MEXICO CITY - Mexico imetangaza rasmi mabadiliko makubwa katika Mahakama ambapo pamoja na mambo mengine Majaji sasa watapatikana kwa kupigiwa kura tofauti na utaratibu wa awali wa kuteuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.