Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI).
Tanzania imepata alama ya...
TAARIFA KWA UMMA
18 Septemba 2024
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa...
Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa...
MKE wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbalimbali kutoka wizara ya Afya alipowasili katika kituo Cha Afya Cha mlandizi kilichopo Mkoani wa...
Habari wanajukwaa:
Kama mnavyotambua na kuelewa ni nchi yetu na Dunia kwa ujumla tuko katika kampeni ya matumizi ya nishati mbadala kama bayogesi, umeme na Gesi nyinginezo ili kukwepa matumizi ya...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameshindwa kuitikia wito aliopewa na Jeshi la Polisi kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kinondoni kuhojiwa kuhusu mauaji ya aliyekuwa...
Ni Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika 17 sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925 – 18/09/2007) ututangulie Mbele za haki kama ulivyotutangulia kuja duniani...
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina...
Baada ya kuchagua camera kwa matumizi na budget yako (episode I), sasa tuanze kurecord. Tuta-assume accessories chache sana tunazihitaji kutokana na budget yetu.
Tufanye sisi ni content creator...
Vikundi nane vya Wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa vimenufaika na mtaji wezeshi kutoka Benki ya CRDB kiasi cha shilingi milioni 101.6 kwa ajili ya kuimarisha biashara zao na...
Dunia ya sasa sio kama dunia ya miaka ya nyuma baada ya UN kuundwa. Mauaji yakitokea kwa waarabu au warusi dunia kimya. Lakini mauaji yakitokea kwa Israel au Marekani au Europe ukitoa Urusi utaona...
Zebra nyingi za mjini Barabara Kuu ya Morogoro - Dodoma nimeshangaa sana kwani zimefutika, mamlaka zipo kimya na hii hali imekua ya muda mrefu na hamna anayechukua hatua.
Hatutarajii mpaka...
Kama utani vile, waigizaji nyota wawili wa Bongo Movie, Kajala Masanja na Jacklyne Wolper wamejikuta wakimaliza bifu walilokuwa nalo kutokana na kila mmoja kuwahi kutoka na staa wa Bongo Flava...
Albadir ya Tanga Sasa umeanza kujibu
Mwakinyo na watu maarufu wa Tanga waliwataka wanazuoni wa dini kufanya kisomo cha albadir
Albadir inaweza kumfanya aliyetekeleza jambo la kudhurumu haki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.