Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka...
Wamiliki wa dispensary zinazopokea BIMA ZA NHIF huwa mnalipwa baada ya muda gani?
personal experience
Nilienda Aga khan Dar nikaona tangazo kua hawapokei NHIF labda zinazotoka bank kadhaa ila...
PRODUCERS NA STUDIO..
1. Kumthamini Producer
Master J na Hermy B waliamua kujiweka kando
kiasi na kuleta maproducer wengine kusimamia
studio hizo. Master Jay alimchukua Marco Chali
kutoka Kama...
morning lovely 😍
naombeni mnisaidie nataka kufuta account ya Facebook nilijiunga kipindi bado mdogo sasa inanikwaza nataka kufuta nimeacha kutumia na miaka sasa lakini notification zinakuja hii...
Habarini ndugu zangu.
Aidha nitoe angalizo kuwa nia yangu sio kukosoa tamaduni za kabila hili. Ila topic ya ndoa ya aina hii kidogo inanipa tabu kidogo kuelewa.
Nimeona jambo hili linafanyika sana...
Habari zenu wanaJF. Natumai wote ni wazima.
Mara kadhaa nimejikuta nashtuka usiku wa saa 7 au saa 8 usiku na usingizi kukata kabisa, inaweza kunichukua hata lisaa kupata usingizi tena...
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI - MLOGANZILA KUFANYA KAMBI YA UPASUAJI WA NYONGA NA MAGOTI
Jopo la Madkatari Wataalam wa UPASUAJI wa Mifupa, Nyonga na Magoti kutoka Hospitali ya Taifa...
Fikiria mtandao kama mji mkubwa wa kidijitali, ambapo kila kona kuna watu, mitaa na maduka ya kila aina.
Kama vile wazazi wanavyowaongoza mabinti zao wanapotembea mtaani kwa mara ya kwanza...
Hello!
Hivi mtu analipwa laki 7, 8, 5, 6, 4,3 au milioni 1, 1.5 na milioni 2 huyo umaskini utamtaka vipi?
Usafiri na kula 20k per day hapo nyumbani 20 jumla 40 kwa siku. Hapo ukiweka, ada...
Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye...
Katika hali inayoumiza na kusikitisha ni namna tunavyoyajadili masuala makubwa ya Taifa letu. Nimepitia maandiko mengi, mijadala mingi na hotuba kadhaa ila nilichokibaini nimekipa jina mchezo wa...
NAUNGA MKONO MAANDAMANO ya tarehe 23 ila Kwa Sharti Moja: Mbowe, Lissu na Familia Zao Wawe Mbele
Katika maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23, naunga mkono juhudi hizi za kidemokrasia...
Kuna siri kubwa imejificha kuhusu pesa.
Haiwezekani wanaume tuweze kuhudumia wapenzi wetu mpaka michepuko, tuhudumie watoto, tuhudumie wazazi, tuhudumie wakwe na mashemeji na bado tukawa sawa...
Upatikanaji wa ndimu umekuwa adimu sana kipindi hiki na bei zake zimechangamka sana.
Mbadala wa wafanyabishara wengi wa chakula wanatumia ndimu ya unga, na ni sehemu nyingi sana kwa sasa ndio...
Watu wengine hudanganyana kuwa ukitaka kuwa raia wa nchi fulani basi oa mwanamke wa hiyo nchi unayotaka kuwa raia. Nchi nyingi duniani haziko hivyo. Mwanamke aliyeolewa ndie hupewa uraia sio...
Gundu ni...
Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂
Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza...
Kwanza kabisa ninampongeza Waziri wa Kilimo Bashe kwa kuguswa na kijana wa kitanzania anayefanya kilimo cha kitunguu na kutaka kumsaidia. Ubarikiwe sana Bashe. Vijana kama hawa wanahitaji...
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Jumuiya ya African Parks Kwa kushirikiana na Nchi ya Sudan Kusini imegundua na kuchaposha taarifa inayosema zaidi ya Wanyama pori Milioni 6 Wanahama kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.