Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
💼MHADHARA WA 8 Hii ni sheria ya 16 kati ya sheria 48 za Mamlaka katika kitabu cha THE 48 LAWS OF POWER kilichoandikwa na ROBERT GREENE. Anatuonyesha kuwa kadiri utakavyoadimika machoni pa watu...
11 Reactions
11 Replies
978 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema! Mtoto wangu kasoma shule moja inaitwa St. Charles Borromoe ipo Mbeya Mafiati. Kamaliza darasa la saba mwaka huu. Shule hii inaongozwa na masister wahindi hapo...
2 Reactions
2 Replies
423 Views
Sitaki kusema ni mimi au laaa..ila ni issue ya kweli.. Ipo hivi Mhusika kabla ya mkopo alikua anaweza kusave 400k kwa mwezi kutoka kwenye Salary, Akaona hio 400k inayozidi aikopee bank, riba Mil...
3 Reactions
14 Replies
574 Views
KUJIONA | KUJIPENDA | KUJIJALI Jambo lolote unalohisi haupewi ni kwa sababu hauna, ukiona mtu analalamika hapendwi ndani yake yeye ndio upendo hamna, mtu akisema anadharauliwa ndani yake dharau...
1 Reactions
0 Replies
127 Views
Jukwaa la Kidigitali katika Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck linaloendeshwa na JamiiForums limeshinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge iliyokuwa ikiwaniwa na Taasisi 113 za Kiteknolojia kutoka...
6 Reactions
20 Replies
728 Views
Historia na Uteuzi Hamad Masauni aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 10, 2022. Kabla ya uteuzi wake, Masauni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu katika...
1 Reactions
4 Replies
344 Views
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari...
3 Reactions
11 Replies
866 Views
Wanabodi, Kumekuwa na hii habari nimekuwa nikiisikia mara kwa mara hivyo nimeleta hapa jukwaani kwakuwa wajuzi wa mambo mi wengi. Je, ni kweli huyu IGP mstaafu alikuwa anamiliki na pamoja na...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Kuna habari kwamba Mwandishi wa Habari, wa Alasiri mwanamke alitekwa na kutelekezwa Mbagala leo mchana muda huu ametoka polisi Oysterbay..... Habari zaidi baadaye
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu kuna taarifa zinasambaa mjini Arusha na viunga vyake kwamba baadhi ya askari wa jeshi la polisi mkoani Arusha wanashangilia kila kona kuondoka kwa RPC SABAS na OC-CID MAFWELE hapa mjini...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Mafwele Makubi alinifundisha shule ya Sekondari Geita mwaka 2004. kisha alihamia Magu. tangu hapo sijawahi kumuona mpaka leo. nimejikuta nina shida naye kubwa sana. yeyote anayeweza kunisaidia...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, leo nimeona nifunguke hapa ili niweze kushea nanyi mambo nilyoyaona baada ya kufanya critical thinking ya hali ya juu Natambua watu wetu wa intelejensia wameshaliona hili...
4 Reactions
7 Replies
402 Views
Kuna uhusiano gani kati hizi international schools na tabia ya mtoto? 99% ya watoto ninaowajua they are bad mannered,at least by our local standards of good conduct.
0 Reactions
7 Replies
334 Views
A Our Solar System a.( Planets circling the sun) The Sun 1. Mercury 2. Venus 3. Earth 4. Mars the asteroid belt 5. Jupiter 6. Saturn 7. Uranus 8. Neptune Mpaka hapo nadhani tuko pamoja. Pleiades...
0 Reactions
13 Replies
682 Views
Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana. Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara. Bei 50000/= mmoja Nipo Mwanza. Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
9 Reactions
48 Replies
921 Views
Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa...
20 Reactions
72 Replies
6K Views
Nimeona tukumbushane hili najua n tatizo la kila ukoo hivi karibuni pale mtu anapopata shida tunashindwa kusaidiana anapokufa ama kuteseka ndio tunaanza kukimbizana Leo nilikuwa kwenye msiba...
12 Reactions
19 Replies
382 Views
ZINGATIA HAYA UNAPONUNUA SIMU ILIYOTUMIKA AU KWA MTU 1. Angalia IMEI namba kwa Android na IMEI/MEID namba kwa iPhones, na zitumie kuhakikisha simu sio ya wizi 2. Kagua iwapo simu iliwahi...
2 Reactions
3 Replies
908 Views
Habari za jioni. Kuna jamaa alifanya kazi serikalini kwa miaka 18 akampa boss wake vitasa vizito akaamua aachane na ajira. Leo nimemuona mtaani kachoka ile mbaya kwa ulanzi hana mishe...
12 Reactions
24 Replies
960 Views
Back
Top Bottom