Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imetunukiwa tuzo na Taasisi ya Kimataifa ya Tathimini za Huduma na Ubora wa huduma za usafiri wa anga (ACI) kwa kuwa moja kati ya nchi...
1 Reactions
2 Replies
185 Views
Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia. Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
5 Reactions
74 Replies
2K Views
Basi kampuni ya mwekezaji kutoka China, New Force/Golden Deer imepata ajali na kuua watu kadhaa. Wakati ajali hiyo inatokea ndani ya mwezi huu itakuwa ajali ya 3 kwa kampuni hiyo baada ya last...
9 Reactions
205 Replies
25K Views
Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki...
24 Reactions
55 Replies
2K Views
Zimesalia Siku 2 kuelekea Hafla ya utoaji wa Tuzo za Stories of Change Msimu wa 4. Septemba 21, 2024 maandiko bora yenye tija yaliyoangazia katika kuijenga 'Tanzania Tuitakayo' ndani ya miaka 5-...
3 Reactions
6 Replies
466 Views
Kùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi...
7 Reactions
62 Replies
3K Views
Katika biashara ya migahawa mingi huwa naona rundo la wafanyakazi ukilinganisha na ukubwa wa mgahawa. Kuna mgahawa nimeona una viti 40 na wafanyakazi kama 30 hivi, kuna migahawa midogo midogo ya...
4 Reactions
7 Replies
405 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari.. Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa mambo ya forex trading, lakini kwa upande wangu nikaona ni ngumu kumeza. Nikaamua kugeukia upande wa pili wa pili wa Binary Options trading, hii...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Inaonekana marejesho ya mikopo bubu ya mali kauli, ile mikopo ya kijumbe, ile michezo ya kutuzana fedha kwa zamu kwa mzunguko wa wiki au mwezi na mikopo ya vikoba imechochea na kuchangia kwa kiasi...
1 Reactions
4 Replies
286 Views
Mimi kuna siku mgeni kaja kunitembelea, sina hata mia mbovu, ndani nina mchele na nje kuna matembele, nikaandaa mboga kwa ajili ya kupika na kubandika wali, basi bwana mgeni amefika tunasubiri...
20 Reactions
67 Replies
2K Views
Zaidi ya 90% ya vijana wanaokwenda chuo siku hizi wanakwenda kupoteza muda wao na kutengeneza mazingira ya kuwa frustrated siku zijazo. Siku hizi hata ukimaliza chuo na ufaulu mkubwa unatakiwa...
3 Reactions
8 Replies
524 Views
NAIBU WAZIRI KATIMBA: TRILIONI 11.5 ZIMETUMIKA MIRADI YA MAENDELEO KIGOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema takribani sh. Trilioni 11.5 zimetumika katika ujenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Kwa tunaofuatilia matangazo ya redio hii jana jioni walitangaza habari kuwa Freeman Mbowe kasitisha maandamo hayo yaliyopangwa kufanyika Septemba 23. Hii ilitufanya wengi tufatilie kwa ukaribu...
5 Reactions
3 Replies
315 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Alietangaza kuanza kuwapoteza watu afiwa na baba yake mzazi. Mpe neno la faraja Soma Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, kijana mmoja kwa jina la Mussa shebe mkazi wa kijiji cha Nachiungo kilichopo mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa, anatafutwa na polisi kwa kosa la mauaji. Kwa mujibu wa...
7 Reactions
9 Replies
672 Views
Kuna shule zimeanzisha mitindo ya ajabu hivi karibuni. Unakuta mzazi analipa graduation 100 000 then wanasubirisha watoto mpaka saa tisa na nusu ama kumi ndio wanakula ili wabaki wachache Wakijua...
10 Reactions
25 Replies
708 Views
💼MHADHARA WA TISA (9) Siku hizi wazazi wengi wapo busy kufuatilia tamthilia, kufikiria marejesho ya Vicoba, na kuperuzi MEMES huko facebook, Tik Tok, na Instagram kupitia smartphone zao. Hawana...
3 Reactions
2 Replies
351 Views
Back
Top Bottom