Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Leo nimeenda kijijini kwetu " Ilala Rural" nikapata nafasi ya kuhudhuria Grafuation ya darasa la saba Shule ya Kayumba. Darasa lina mikondo 7 kila mkondo una wanafunzi 70 jumla wanafunzi 490...
23 Reactions
38 Replies
1K Views
Usimwage damu isiyo na hatia wala usimuonee mtu mnyonge, yatima, mjane au mtu ambaye hata ukimfanyia ubaya huwezi pata majibu ya maswali yako. Unaweza ukafikiri nina nguvu nina pesa na Mamlaka...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna ka-reserch nimekafanya kwa muda kidogo kuhusu tabia za watanzania na kugundua kuwa watanzania wengi wana tabia ya kuzubaa, akili kama inachelewa kuload, kuchelewa kufikiri na kutofanya...
3 Reactions
1 Replies
214 Views
Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana. Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia...
58 Reactions
109 Replies
9K Views
Kama huamini subiri aoleweeew kamammkristo utajua anapoelekea Kama msilamu utajua anapoelewa
4 Reactions
6 Replies
239 Views
Nawaza tu, mnatuoneshwa wezi wa ng’ombe na wezi wa mbuzi, lakini sijasikia kuhusu wezi wa madini. Sijui walawiti wala masuala ya Madawa ya kulevya. Kwa nini hawa wezi wa madini hawatuoneshwi?
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuwa Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hamna hata salamu, Hili eneo ni chafu. Lipo karibu na ikulu na maofisi makubwa. Idara inayohusika na usafi wa mazingira ya bahari na nchi kavu huwa wakienda ofisini kazi yao ni ipi? Na sisi...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
moja kwa moja... 1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia. 2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye...
15 Reactions
74 Replies
2K Views
Habari ndugu, Wachokonozi ni vijana wa kitanzania wanaotengeneza digital contents kwenye social media. Hawa vijana wana talent ya ajabu sana. Wanakufanya ufikilie nje ya box. Mambo mengi...
2 Reactions
2 Replies
478 Views
Et ni apps zipi unaweza kuwaita wadangaji online kama unavyoagiza Uber? Nimesikia mtu akinisimulia hii imenishangaza sana jamani
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Kwa msiojua, wazungu wameshaanza kutoa dozi, wanaminya mpunga, na hazina kumeshaanza kuchoka. Maofisi ya serikali yameanza kupokea pesa kiduchu kwasababu hakuna pesa, kipindi cha jiwe alileta...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Hakuna haja tena ya kutoa tafsiri ya majini kwakuwa tayari tumeshalidajili hili kwenye post iliyopita kwamba majini ni viumbe roho waliofukuzwa toka mbinguni na kutupwa ulimwengu wa giza. Mada...
22 Reactions
425 Replies
203K Views
Wanufaika wa miradi inayofadhiliwa na TNRF, GEF SGP kupitia UNDP Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uandaaji wa taarifa na kujengewa uwezo wa utekelezaji wa...
0 Reactions
1 Replies
127 Views
Kuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni. Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia...
7 Reactions
75 Replies
2K Views
Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha...
6 Reactions
11 Replies
495 Views
Amani ya bwana iwe juu yenu ndugu watanzania. Maneno tajwa hapo juu yalikuwa maarufu sehemu flani ya Tanzania ambapo vijana kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hukusunywa hapo na huishi kwa miaka...
3 Reactions
5 Replies
162 Views
Weka elimu yako hiyo ya makaratasi pembeni uwasikilize watu wenye uzoefu wao kwenye hicho unachokitaka,kingereza ni lugha kama ilivyo kipare au kijaluo. Jifunze watu wasio na elimu wanafanyaje...
1 Reactions
1 Replies
245 Views
Mheshimiwa makamu wa Rais wa JMT anahutubia katika ibada ya kanisa la wasabato sasa.Katika moja ya nasaha zake,ni kuwaomba viongozi wa dini pia wawajibike katika kuleta amani.Katika eneo hili...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom