Tamasha la Kitaa Festival la Kampuni ya Coca-Cola limeanza rasmi Jumamosi hii, likiwatembelea wakazi wa Manzese Bhakresa jijini Dar es Salaam kufurahia utamaduni wa vyakula vya asili vya...
Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale
Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta...
Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha.
Kampuni ya Helios...
Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa...
Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2...
Habari wakuu mbali mbali,
kama ilivyo ada licha ya kuwepo kwa platforms mbalimbali za kijamii lakini kwangu Mimi JF bado ndo sehemu ninapoweza pata hekima za watu makini
mwezi mmoja uliopita...
Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k
Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini...
Katika uzoefu wangu kwenye biashara aisee kufanya biashara na watu wanaojiita wasomi ni kazi ngumu sana, kwanza ni waoga kuthubutu, kila kitu wanataka reserch.
Hawajui kanuni za biashara ya...
Infact,
Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na...
Mwl KAZIDI "The Code breaker" 0752071767
Hellow nakusalimia Kwa Upendo wa dhati kabisa kutoka moyoni Leo nimesukumwa kukufungulia code walau moja ambazo zimewafunga na zimefanya wengi wasipige...
Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga.
Imekuwaje kanisa...
Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya...
Leo naona nimshauri jambo hili Raisi wetu Samia, amekuwa akifanya mambo mengi ambayo kwa utashi wake pengine Yuko sahihi lakini Mimi naona kama haijakaa sawa.
Ni kuhusu Goli la mama kwenye...
Mkristo anataka apendeze ndipo aende kanisani, mchawi anaenda kuwanga akiwa uchi.
Mkristo anahangaika sana kuuremba mwili wake kwa mavazi mazuri, lakini roho yake imejaa uwongo, chuki, masimango...
Wanasimba Hongereni
Moja kwa moja kwenye mada, Kigugumizi ni nini ? Huwa kinatokana na nini ? Je kinarithishwa ? Nini hatua za kufanya ili kukikabili ?
Nawasilisha.
NB; Nashukuru Mungu siku...
Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu.
Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing...
Shalom
Moja kwa moja kwenye mada.
Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini.
Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio...
Ndugu zangu,
Hii mamlaka ya RITA ni tatizo week ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa nimelipa sh 12,000 kwa vyeti viwili tu lakini majibu cjapata na hawajitokezi kuelezea nini tatizo...
Habari.
Jumapili inaendaje kwenu.
Vijana wengi tunajitafuta na hatujajipata ,tunatamani mafanikio tuwe na maisha mazuri ya kukidhi mahitaji.
Moja ya silaha kubwa katika mafanikio ni kushare na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.