Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa...
2 Reactions
3 Replies
846 Views
  • Poll Poll
Nahitaji kufungua website kwa ajili ya biashara. Nimepitia baadhi ya nyuzi tofauti tofauti kuhusiana na maswala ya website na aina zake nimepata mwanga angalau kidogo. Ila bado nina maswali kwa...
1 Reactions
4 Replies
282 Views
Watu wengi mnatapeliwa na madalali eti atakufanyia mchakato upate visa ya kwenda marekani kanada na ulaya. Mtapigwa sana washamba nyie, visa inatoka embassy sio kwa agent Sasa huyo agent kama...
3 Reactions
9 Replies
555 Views
Natanguliza shukrani zangu za dhati
2 Reactions
26 Replies
951 Views
Emmanuel Kalungwana mkazi wa Mbezi Africana, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shtaka la kuingilia miundombinu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
1 Reactions
4 Replies
478 Views
Wanabodi, Mwandishi wa EATV ambaye jana alikamatwa kwenye maandamano ya CHADEMA siku ya jana, amezungumza kwenye kipindi cha The Drive ambapo alisehoji kuhusu kukamatwa kwake na jinsi ambavyo...
3 Reactions
6 Replies
537 Views
Kuna hii discussion ya goli la mama ambapo hatujui hela zinatoka wapi ila tunajua anatoa mama but guess what kama wewe ni mtu unayefuatilia hizi press comference za Ahmed Ally, Ally Kamwe na...
6 Reactions
8 Replies
639 Views
Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Anonymous (3f25)
Habari za leo, Ninatokea Mbezi mtaa wa Luis kitongoji cha Upendo. Hivi karibuni kumeibuka wizi wa mita za maji hapa mtaani kwetu bila kujua wanaoiba wanazipeleka wapi, Dawasa tumewapa taarifa...
0 Reactions
2 Replies
506 Views
Kwema Wakuu! Namna Bora ya ku-deal na vijana wa sasa ambao Asilimia 90% ni Vijana wa hovyo ni kuwa na roho ngumu tuu. Kama unahitaji mahusiano mazuri yenye furaha na vijana hawa na hautaki kuumia...
22 Reactions
76 Replies
6K Views
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari! Mara nyingi nasema kuwa ni ngumu sana kuwa mzalendo kwenye nchi ya Tanzania. Serikali inaponyesha nia ya kuwa upande wa wananchi roho ya uzalendo inachipua yenyewe mioyoni mwa wananchi...
7 Reactions
14 Replies
733 Views
Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa...
48 Reactions
176 Replies
5K Views
Chombo cha utafiti RV Flip ndicho chombo pekee duniani chenye uwezo wa kuhama kutoka mlalo wa kuelea baharini hadi uwezo wa kusimama wima katikati ya bahari. Flip sio meli ndogo, ina urefu wa...
8 Reactions
8 Replies
698 Views
Watu wengi haswa wenye shughuli rasmi kama biashara au ajira huwa wana mapumziko mwisho wa wiki. swali langu ni je unautumiaje muda wako wa weekend ambapo hauna jukumu la kufanya kazi? Hebu toa...
1 Reactions
26 Replies
511 Views
Mtu mmja ambae alikuwa ni Mkuu wa shule ya sekondari Chain bwana Peter Sewa amekutwa Amejinyonga Kwenye eneo la site alikokuwa anaendelea na ujenzi wa nyumba yake. Polisi na familia...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Meneja wa duka la Vodacom jijini Mwanza Jumeo Iddi (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi milioni moja mshindi wa droo ya nane ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi Bw. Seleman...
2 Reactions
3 Replies
200 Views
My Take Watakaoleta Vurugu kwenye uchaguzi wa 2025 watakabiliwa vikivyo. Hongera Rais Samia Kwa kupungua Vijana ma jobless Mtaani 👇👇...
3 Reactions
3 Replies
260 Views
Tukio la mmoja ya waandamanaji wa kike ambaye jina lake halijafahamika, akamatwa na Polisi alipokuwa akifanya maombi, eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam. Septemba 11, 2024 Mwenyekiti wa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom