Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hiki ni kisa kingine, Nimewahi kupita shule flani ya msingi siku ambayo darasa la saba wamemaliza mtihani, nilikuwa na chenji nyingi za elfu mbili mbili nikapata wazo niwazawadie wataoweza kujibu...
15 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwa kweli, hiki ni kitu ambacho hakijawahi kutokea! Mishahara ya watumishi imetoka, maajabu ni kuwa kuna waliopata annual increament mwezi uliopita(wa nane) na wengine hawakupata wakitarajia...
15 Reactions
50 Replies
2K Views
Rais alikuwa anaongea na wale watoto wa shule ya msingi akawaita " malaika" Hili ni jambo ambalo napinga sana. Ni kama mtu akinunua glasi mpya au sahani mpya,haoni sababu ya kuiosha. Mtoto...
2 Reactions
4 Replies
475 Views
Huyu kijana ni Mkenya, graduate wa Education. Anasema alisoma education kwa kumridhisha mzazi wake tu. Kamaliza kapewa certificate yake kumkabidhi mzazi wake na yeye anataka aanze safari ya...
4 Reactions
11 Replies
751 Views
Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui. 1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa...
3 Reactions
13 Replies
888 Views
Kuna siku nilileta thread humu kuomba ni namna gani naweza kupata msaada wa rufaa yangu ya bodi ikapita na mimi nikaongezewa chochote kitu maana to be honestly napata mkopo kidogo sana napata...
25 Reactions
618 Replies
30K Views
AHADI za fedha kutoka mataifa tajiri kwenda mataifa masikini kwa ajili ya kuhimili na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ni tamu, lakini kiuhalisia ni mtego wa madeni. Uchambuzi wa...
2 Reactions
2 Replies
404 Views
poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kimsingi nahitaji kusoma "masters" ila sijuwi ni kozi gani itanifaa na kuleta tija kwangu. Ndugu wadau...
5 Reactions
61 Replies
6K Views
I mean existential crisis Angalia ndugu yake na kurwa sasa hivi kwa mtaani anatamba na ubaya ubwela Vijana mtandaoni wanahangaika na uwepo wa mungu, they feel his death Viongozi wa serikali na...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Wadau,kipato changu wastan wa kum na tano kwa siku,kulingana na kipato nalazimika kujibana kwa kuacha hom kum ulfu na dala lililobak natumia km nauli na mengineyo. Utata unakuja kwenye kutoa...
5 Reactions
202 Replies
13K Views
Wakuu mimi bado masikini,nipo napambana najitafuta.Kwa muda mrefu nimejichanga kutafuta ka mtaji nikapata. Nikatafuta kasehemu nikafungua local grocery,yani ni ya kawaida sana.Biashara ikaanza kwa...
25 Reactions
58 Replies
1K Views
“Nimeambiwa Shule hii ni ya mchepuo wa Kingereza. Sasa nina pendekezo. Unajua unapobadilisha mitaala ya elimu, Waziri wa Elimu yuko hapa. Tumebadilisha mitaala ya elimu na sera yetu ya elimu...
1 Reactions
7 Replies
761 Views
Habari Wanajamvi..... Leo katika pita pita zangu, nimejikuta nimefika Dampo la Dar es Salaam lililopo Pugu ~ Kinyamwezi. Huko bana kilichonipeleka ni mihangaiko tu lakini nimetoka na kitu ambacho...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Anonymous (add6)
Leo nina ujumbe ambao nataka unawahusu baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Maji Buzuruga - Mwanza ambayo ndio Ofisi ya Maji Ilemela, kwa ufupi ni kama inanuka Rushwa ya waziwazi. Imekuwa kawaida...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Anonymous (af9b)
Mnamo mwezi Agosti kuliibuka tetesi kwamba kutakuwa na kupunguzwa kwa wafanyakazi katika mgodi wa Williamson Diamonds Limited uliopo katika umiliki wa Petra Group kutokana na sababu za kushuka kwa...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Wakuu Ukiulizwa unapiga mishe gani we wambie watu unapga kazi fulani. Usiwambie sina kazi wanaanza kukuepuka Kumbuka kua 1.Kila mtu anahitaji mchongo 2.Kila mtu anahitaji connection 3.kila mtu...
11 Reactions
55 Replies
966 Views
Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia. Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako. Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi. Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si...
1 Reactions
2 Replies
216 Views
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Jimbo la Peramiho, Mkoa wa Ruvuma linaloongozwa na Jenista Mhagama, amemsifu mbunge ambaye ni Waziri wa Afya kwa kazi anayoifanya ndani ya Serikali. "Nalishukuru...
0 Reactions
6 Replies
324 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amethibitisha kuwa ushirikiano endelevu baina ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na...
0 Reactions
1 Replies
145 Views
Back
Top Bottom