Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa...
10 Reactions
139 Replies
7K Views
Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema, Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu Kuweni makini sana
5 Reactions
156 Replies
7K Views
Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone. Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano...
13 Reactions
44 Replies
1K Views
Sisi watu weusi sijui nani alituroga, mimi katika pita pita zangu hapa Tanzania sijawahi kukuta mlinzi wa kihindi au au wa kiarabu, mlizi wa kizungu au wa kichina, ila sisi ngozi nyeusi ndo...
16 Reactions
64 Replies
2K Views
Habari wana JF Naomba kujua maeneo walipo traffic wa barabarani -Torch -Checkpoint. Barabara ya Moshi-Dar Asanteni
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Hapo juu ni pesa alizokutwa nazo mwanadada Eva Kaili aliekuwa makamu rais wa bunge la EU. Eva Kalili alikuwa mmoja kati ya watano waliokamatwa katika sakata hili linalohusu kupokea rushwa kutoka...
1 Reactions
1 Replies
158 Views
Wanafunzi wa Shule za Sekondari, Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Mkoani Mbeya wamehimizwa kutoa taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji. Akizungumza katika uzinduzi wa...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu, Dorothy Gwajima akizungumza mara baada ya kupewa tuzo na JamiiForums kwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya Wananchi na...
2 Reactions
0 Replies
125 Views
TRA wanafanya kazi kubwa sana kuelimisha na kupambana na watu ili walipekodi/wasikwepe kodi Hata hivyo changamoto kubwa ni watu kukosa Elimu ya kodi tangia huku chini. Muarobaini wa Kukwepa kodi...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Kifaa maalum cha kujiua kinachoitwa "Sarco Pod" kimepata umaarufu katika miaka ya karibuni. Kifaa hiki kiliundwa na Philip Nitschke, mwanzilishi wa Exit International, na kimeundwa kusaidia watu...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari wakuu, Napenda kufahamu yoyote mwenye uzoefu wa namna sahihi ya kupunguza gharama wakati kujaza kifusi wakati wa ujenzi wa nyumba baada ya kumaliza msingi. Hii ni baada ya kuona jirani...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
Wanafunzi wa shule za kutwa jijini Dar es salaam wanakumbana na changamoto kubwa sana ya usafiri, hii inapunguza morali ya watoto kupenda shule, pia ni moja ya sababu ya matokeo mabaya kitaaluma...
5 Reactions
10 Replies
396 Views
Aisee hamna kitu kinachoninyima usingizi kama watu mtaani kuanza kuniamkia na kuanza kuniita mbaba sasa najiuliza kwanini waniita mbaba na kuanza kuniamkia ila nahisi miahafikia umri wa utu uzima...
5 Reactions
16 Replies
457 Views
Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho? Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level...
15 Reactions
108 Replies
31K Views
Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
0 Reactions
4 Replies
284 Views
Poleni na hekaheka za campaign wana JF. Moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mwathirika wa kamari, nacheza mchezo wa roulette kwa sana kuanzia cassino na popote napokutana na hilo dude...
9 Reactions
97 Replies
9K Views
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya Utumishi wa Mahakama imekuwa ikitangaza rasmi ajira za Mahakimu na kuwachagua wale waliofuzu na kukidhi vigezo stahiki kwa tangazo maalumu na kwa uwazi. Lakini...
1 Reactions
6 Replies
547 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu: Patrick Boisafi akiwa ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wametembelea mradi wa Maabara ya kisasa ya kupima ubora wa...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Habari za mapambano wana Jf? Mimi ni kijana wa miaka 27 ni muhitimu wa chuo kikuuu x na nipo nasubili ajira. Na saivi najishughurisha na bodaboda pia nalima. Kuna ndoto inanijia mara kwa mara...
2 Reactions
10 Replies
749 Views
Back
Top Bottom