Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ijumaa iliyopita Rafiki yangu wa karibu mkoani Mara, wilaya ya Tarime alikwenda nyumbani Kwa wazazi wa mke wake. Alienda huko kushawishi mke wake arudi nyumbani kutokana na mgogoro wao wa muda...
15 Reactions
137 Replies
4K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 kuhusu elimu ya lazima kuwa ya miaka 10 utaanza...
1 Reactions
4 Replies
282 Views
Wakuu, Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha. Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo. Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi...
8 Reactions
34 Replies
868 Views
Credit kwa WasafiTv👇🏼 https://youtu.be/dl-pDpB8K2Y?si=AssMQvmbRoW28ILy Johnson Joseph, mkazi wa Murieti, jijini Arusha, na mfanyabiashara wa vyuma chakavu, anadaiwa kuuawa na watu wawili...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
📖Mhadhara wa 21: Wakati watanzania wenye akili timamu wanajiuliza hili swali; Tupate wapi njia za kuwanasua watoto wetu kwenye wimbi baya la ubakaji, ushoga, usagaji, na ulawiti? - lakini...
2 Reactions
6 Replies
508 Views
### Karibuni Kaburini Karibuni, enyi wapenzi wa nchi, Katika kaburi la matumaini, Miongoni mwa majani ya kijani kibichi, Tunakusanya mawazo, tunazungumza kwa ukaribu. Hapa, mahali pa historia...
1 Reactions
1 Replies
96 Views
Karibu makamanda wote waliohudumu wameuwawa na kuchaguliwa wengine na pia watawawa tu USSR
2 Reactions
5 Replies
287 Views
Kwa wafanyabiashara wa karanga kutoka Kahama kwenda Rwanda, hakika watakuwa wanamfahamu mwamba huyo. Nimeshangaa kumuona ndani ya vazi la kazi la jeshi la nchi fulani tena kama Lt Col...
39 Reactions
177 Replies
18K Views
Bila shaka mko poa. Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada. Jana jioni wakati natoka kwenye kutafuta riziki ninaishi Mburahati karibu na hopitali ya Mianzini. kwa wenyeji kidogo maeneo...
0 Reactions
12 Replies
495 Views
Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi. Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakuu, Ukitembea tembea Duniani utagundua tabia za watu huendana na race yao. Mfano unakuta watu wa Afrika karibia wote tunataka kufanana tabia zetu isipokuwa watu wachache sana. Najua suala la...
5 Reactions
16 Replies
943 Views
📖Mhadhara wa 18: Ukiachilia mbali hitaji la usafi, lugha nzuri, na uaminifu katika kazi ya wasafirishaji wa abiria wa pikipiki almaarufu Bodaboda. Kitu kingine kikubwa ambacho kinawalazimu...
4 Reactions
8 Replies
414 Views
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wamesema kuwa wameuchukua na wataufanyia kazi ushauri wa mdau wa Jamiiforums. com kuhusu umuhimu wa kuweka njia ya juu (Fly over) eneo la Bondeni - Mbezi...
2 Reactions
2 Replies
493 Views
Wanasheria nguli mliomo humu tusaidieni ufafanuzi kwenye hili. Iwapo chombo cha habari kimeruhusu Mtu mmoja amdhalilishe mwingine bila uthibitisho na bila kupata ufafanuzi wa aliyetajwa.
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika...
3 Reactions
23 Replies
732 Views
Anonymous (291c)
Baadhi ya polisi wa barabarani wamekuwa wakiandikia fine malori ya mizigo kwa makosa ambayo hayapo ili wajipatie pesa. Mfano kosa la gari bovu. Gari limetembea kutoka Mwanza hadi Dar ila...
1 Reactions
0 Replies
182 Views
Wanajamvi za muda huu?, https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA”...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
14 Reactions
36 Replies
971 Views
Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji...
1 Reactions
18 Replies
384 Views
Kwanini ujitoe uhai wako? Duniani hauko pekee yako. Hebu washirikishe watu wako wa karibu jambo ambalo linakusumbua, hakika utapata majibu kwa sababu wewe sio wa kwanza kukumbwa na hilo jambo. •...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Back
Top Bottom