Ninawajua watu kama kadhaa walioenda kusoma nje ya nchi miaka ya 2012 hadi 2015, Wamesumbuka sana kwenye soko la ajira imewabidi tu wakubaliane na matokeo kwa kujiendeleza na shughuli nyinginezo...
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt Saada Mkuya Salum amesema serikali itaendelea kuwachukulia hatua wafanyabiashara ambao sio waaminifu wanaoenda kinyume na sheria za kodi...
Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vodacom imezindua duka jipya la huduma kwa wateja kata ya Nungwi, mkoa wa Kaskazini A, ikiwa ni hatua muhimu ya kutoa huduma bora za mawasiliano na bidhaa za...
Vijana hata watu wazima wengi bado wanaimini kuna kazi au pesa rahisi unaweza pata kupitia simu yako au kuwa online.
Chini ya hili jua hamna pesa rahisi. Pesa halali ni ile ya kuitolea jasho...
Jua letu linachukua miaka milioni 250 ( 200 light years )kuzunguka Njia ya Milky Way.
Kwa ujumla, Njia ya Milky Way ina upana wa takribani miaka ya mwanga 100,000 na upana wa miaka ya mwanga...
Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu.
Nikaanza kufanya research juu ya kampuni...
Kama unataka kulala njaa tegemea pesa ambayo ipo kwenye mfuko wa mtu mwingine.
Usiache jua lizame kwa kuendelea kusubiri hela ambayo umeahidiwa kupitia kauli zifuatazo;
(a) "Usijali leo uhakika...
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi
TAARIFA KWA UMMA
MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote...
Unaweza usiamini lakini ndivyo hali ilivyo katika eneo moja jijini Dar es Salaam, ambalo limegeuzwa kuwa soko la wazi la kufanyia vitendo vya ngono hadharani. Eneo hilo lililopo Mbagala Zakhem...
Nimevutiwa na huu ubunifu na kipaji.. Pengine mitaala yetu ijayo itaangazia zaidi kwenye kutoa elimu isiyo tegemezi kwenye kuajiriwa tuu bali kwenye ubunifu, kuvumbua vipaji, kukuza vipaji...
Wanabodi, Salaam..
Nimewiwa kuja na bandiko hili usiku wa leo kutokana na changamoto nilizokutana nazo barabarani.
Kila mtu anafahamu kwa sasa nchi yetu imepiga hatua kwa namna fulani katika...
huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo...
Ndugu zangu kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, mimi sio mchawi, mshirikina ama vyovyote vile ila ninakuandikia haya kama kukuelezea nguvu ya vitu alivyoviumba Mungu.
Mungu alimuumba binadamu...
Kuna uhusiano gani wa mtoto kuumwa umwa mara achemke mara infections yaani taflani nakosa raha mkienda hospital hana ugonjwa mtoto anakaribia mwaka kuna mtu kanambia eti nimpeleke nyumbani...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za...
Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi
Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi...
Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa.
"Hili dela ni bei gani?"
"Hivi viatu ni bei gani?"
"Hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.