Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu.
Watu wengi hufikiri kwamba akili (IQ) pekee inatosha kumfikisha mtu kwenye mafanikio, lakini ukweli ni kwamba ufahamu...
Kuanzia 2020 na kurudi nyuma bunge lilikuwa la moto ulikuwa unapita kila sehemu unakuta watu wanasikiliza kwenye radio, wengine wanaangalia kwenye runinga.
Lakini siku hizi hali ni tofauti kabisa...
Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.
Waislam wanafunga tu kwa kunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?
Kwa nin kama...
Nyumba nyingi za uswahilini ujenzi wake mkubwa vyoo huwa uwani(nyuma ya nyumba).Lakini wapangaji wengi ugeuza sehemu kubwa ya kupumzikia.
Kama wapangaji wengine ushindwa kujiachia chooni kupiga...
Hakuna kitu cha maana ambacho tumeisaidia dunia. Kiufupi tupo tupo tu, Tunasubiria watu wa mashariki ya mbali waje watusaidie.
Tumejiandaa vipi majanga ya asili kama tsunami, tetemeko etc...
Na Mwandishi Wetu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku...
𝗫𝗶𝗮𝗼𝗺𝗶 𝗯𝗶𝗻𝗴𝘄𝗮 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱
Kwenye Events ya MWC wa mwaka 2025, wachina bhana waliweza kuonyesha simu yao mpya aina ya Xiaomi 15 Ultra ikiwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia kwa mwaka...
1. MUONGOPE SANA MTU ANAYEWEZA KUMKANA MTOTO WAKE KWA AJILI YA MAHUSIANO wapo watu hudiriki kuwakana watoto wao kwa ajili ya mahusiano au kuwaficha watoto hataki kusema kama ana watoto au anamkana...
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Kanda ya Benjamini Mkapa (BMH), Prof. Abel Makubi, amesema hadi sasa wamefanikiwa kuweka vipandikizi maalum kwenye uume kwa wanaume watano waliokuwa na...
Nimefika clinic ya NHIF saa 08.03, hadi kutika saa 09.15 hakuna daktari vyumba vyote 1-3. Maelezo yanatolewa kuwa wako "round". Tunadubiti dakika kama kumi anapatikana daktari mmoja( chumba no1)...
Jamani napitia kipindi kigumu sana jana usiku kuamkia leo nimeota nimeingiliwa na mwanaume mwenzangu kushtuka usiku nimejikuta nimemwaga bao nilikemea ndoto ila bado naumia kwanii initokee mm...
Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania!
Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining...
Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imafanikiwa kutoa huduma ya kuwawekea vipandikizi maalumu kwenye uume (Penile Implantation) kwa wanaume watano ambao walikuwa na changamoto za upungufu wa nguvu...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi...
Kheri Mbugani kuliko Barabara ya kuvuka kipawa.
Tunaishukiru serikali Kwa kutujengea Barabara lakini Barabara hii imekuja na karaa na huzuni Kwa familia nyingi za wakazi wa kipawa.
Barabara...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Januari 04,2025 majira ya saa 8:00 mchana lilipokea taarifa toka kwa wananchi ya kuonekana kwa gari aina ya Mercedes Benz lenye namba za usajili T 109DVY...
Historia imejaa mifano ya mataifa yaliyoangamizwa si kwa vita vya nje, si kwa mafuriko wala matetemeko, bali kwa sumu ya uchawa. Wananchi walioshindwa kuhoji mamlaka, waliobadili akili zao kuwa...
BABA WA KAMBO; MZIMU WA KAMBO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
ANGALIZO:
Mada hii ni Tata, utata wake upo sehemu Mbili;
Moja, Mada inaweza kugusa Maslahi ya Watu hasa Wanawake wasiowaaminifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.