Kuna huu ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga ni hatari sana ila nashangaa huwa wamama hawafundishwi chochote Matokeo yake wamama wengi wanapoteza watoto kizembe.
Wakati najifungua hosp pale...
Mama Shekha Nasser Akikata Keki ikiwa ni kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Mama Shekha Nasser aliamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kula mlo wa jioni pamoja na wafanyakazi wake wote...
How much is enough ili kuweza kuridhisha matakwa na mategemeo ya mwanadamu, utashi tulionao pekee hautoshi ku-prove kuwa sisi ni bora ingawa hatuendani??, sasa kwa sababu upo egoistic, selfish na...
Siku zilisonga mbele, lakini bado taifa lilikuwa katika msisimko. Mijadala ilikuwa moto, kutoka vijiweni hadi bungeni. CCM sasa walikuwa wakifanya kile ambacho walikuwa wakiwahi kibeza—kupinga...
Wakuu, hiki kipande cha Moro Road kwenda Mandela Road hadi Buguruni to Bandalili, ule utaratibu wa kuzuia malori asubuhi ungehamia pia jioni, labda kuanzia saa 9 au saa 10 hadi saa 1 au saa 2...
Huwa ninapokuwa napata muda na nimepumzika mara nyingi huwa napenda kufuatilia kipindi kimoja kinaitwa AIRPORT SECURITY ambacho kinapatikana katika channel ya NATIONAL GEOGRAPHIC kutoka king'amuzi...
Baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari.
Mwandishi: Ulilionaje Pambano?
Dullah: Lilikuwa gumu, siko sawa, siko...
Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ameitaka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro kuhakikisha inafanya ukarabati wa madaraja yote na miundombinu ya barabara mbovu...
Jeshi la Magereza lakabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 kwa ajili ya kilimo
Jeshi la Magereza, kupitia Mkuu wa Wilaya ya Geita, limekabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 zitakazotumika kupandwa...
Habari wadau, haya ni malalamiko yangu juu ya vituo vya kujazia mafuta vya kampuni husika.
Hivi karibuni walianzisha mfumo wa kadi ambayo unaweka deposit ya pesa kadhaa na kukuwezesha kuitumia...
Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia...
Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja...
Aisee huwa najiuliza sana mimi mtu wa kuzunguka sana kama mbwa riziki yangu iko miguuni huwa nakuta sana gari aina ya Alphard au Noah tena namba E inauza korosho na unakuta wamewasha AC kabsa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.