https://youtu.be/FfitG5qRW2M?si=HcUhPfFnt9Wh7XCX
Katika taarifa iliyojaa msisitizo na ufundi wa kisheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa...
Ukifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia.
Ukiwa huna mwanamke wa uhakika wa kuishi nae ni tatizo
Sikiliza video.
Mtangazaji yupo sawa au yeye...
Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia.
Wanaotumia mkono wa kushoto husumbuka sana katika...
Wakenya wanastahili pongezi kwa hatua waliyofikia katika demokrasia. Lakini kama demokrasia ikiwa inakiuka maadiki ya Jamii husika, inakuwa ni ya hasara badala ya faida.
Nionavyo, kwa sababu ya...
Mie najiuliza kama serikali yetu sikivu inaweza kuwasilikilza Hospitali ya Aghakan/NHIF, wamachinga wa Kariakoo/TRA inashindwaje kuwasikiliza chadema? Ingewaacha hakuna mtu angejua kuna tukio la...
Kwa wale wenzangu tunaosafiri kuangalia familia na maisha ya hapa na pale. Ukienda kwa wenzetu unakuta nyumba ni tupu hakuna watu kabisa au mtaa wote kama wameondoka umebaki vichaka tu.
Tuje...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
Nikianza na hawa mapolisi ambao kazi yao kubwa nikutishia Amani ya nchi kwa kukamata wanaoikosoa serikali na kutisha wapinzani kwa bunduki, wana maisha ya kutupwa jalalani. Ukipita kwenye Kota zao...
Kwa hali ilivyo wanaume tutaendelea kuondoka mapema sana , tunaumia ndani na kufa kimya kimya huku wenzetu wanatetewa kila mahali
Ukatili na unyanyasaji upo sana dhidi ya wanaume
Kiwepo chama...
Habari zenu wakuu
Bila kupoteza muda nilifikishe hili jambo kwenu ili mamlaka husika ifike pale na kuchukua hatua mara moja. Hospitali ya Amana ndogo iliyopo Dar es Salaam - Kivule, Chakenge kuna...
Putin huwa anadeal na wanyonge tu ila Hadi leo Alaska anajuta kwa nini lile eneo waliuziwa wamarekani na Russia enzi hizo kwa jinsi jamaa alivyokuwa na tamaa Usa angekuwa mnyonge angeshalichukua...
BILIONI 4.14 ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MOROGORO
Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ilipokea fedha jumla ya Shilingi Bilioni 4.14 (Tsh. 4,140,000,000) kutoka Serikali...
Wakubwa shikamoni , wadogo marahaba.
Siku moja miaka 21 iliyopita asubuhi nikiwa nimepumzika chini ya mti uliokuwa jirani na msikiti mmoja Moshi mjini baada ya kupata kahawa ya asubuhi...
Chadema mlipoipotezea ifanye siasa zake ndio mliifanya watu waendelee na kazi zao hata umaarudfu ulianza kupungua ila hii kamata kamata mara mnawapiga ndio mnawarudisha rasmi kupata wafuasi na...
Jioni nimepita zaidi ya vituo vitatu vya kuuzia mafuta mitaa ya kigamboni wanasema hakuna mafuta.Naweza kupata mafuta mtaa kwa huku kigamboni.
Msaada please
Hapo Kuna Siri gani au uhusiano gani?
Tangu nipo Shule za secondary, nikikuta mwanamke anatumia mkono wa kushoto basi utakuta huyo kwao ni Kilimanjaro au origin yake ni Kilimanjaro.
Nimefika vyuo...
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa
Nimeamua niandikie leo japo ni tukio...
Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani.
Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge.
Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia...
Najua nasemea wengi 70% ya Watanzania ni chini ya miaka 25. Mpaka 35 itakuwa karibu 85%. Kumekuwa na utamaduni wa vijana kuombaomba pesa kila siku nimevumilia lakini inabidi niseme ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.