Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Anonymous (2b11)
Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi wa Mali za mama mzazi, nilipofuatilia mafao yake (PSSF) nilijibiwa ya kuwa kama ameshapokea fao lake kustaafu pamoja na fedha za kila mwezi kwa kipindi cha...
0 Reactions
5 Replies
426 Views
Nimeteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi wa Mali za mama yangu mzazi mahakamani. Nilipoenda PSSSF nilichoelezwa ni kuwa kama mama alishastaafu na kupewa kiinua mgongo na kuwa amepokea zaidi ya miaka...
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Saikolojia? Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni. Mihadarati? Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya...
1 Reactions
2 Replies
299 Views
Leo Madaraka anatimiza miaka 64. Ni mtoto wa mwisho wa Mwalimu Nyerere ( now that Rose Nyerere has passed away). Madaraka amesoma Banking, Italy na Canada. Madaraka ana predilection for going to...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi...
20 Reactions
122 Replies
5K Views
Asasi za Kiraia nchini kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), imeiomba Serikali iangazie katika kuhakikisha makundi maalum yanawezeshwa kufikia miundombinu ya kidigitali ili...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Tumsifu Yesu Kristu wapendwa Jamaa zetu walokole wamekuwa wakinijinasibu kuwa wameshikilia wokovu yaani wameokoka, leo ningependa watupe elimu hasa juu ya wanachokiita kuokoka baada ya...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Mkazi wa Lumala wilayani Ilemela mkoani Mwanza, Salma Abdallah (37), amefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo na kusomewa shtaka la kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari wakuu, heshima kwenu wakubwa kwa wadogo Najua humu kuna watu wa kila aina wenye kufahamiana na watu wa kada mbalimbali mnaoweza kuwa msaada kwangu siku zijazo Mimi ni mtanzania kutoka...
5 Reactions
9 Replies
711 Views
MABENKI YATAKIWA KUWAFUATA WAKULIMA NA WAFUGAJI - DKT. BITEKO 📌Serikali Kuendelea Kuweka Mazingira Wezeshi ya Uwekezaji 📌Mikopo Chechefu Yapungua Nchini 📌 Dkt. Biteko Azindua Tawi la KCB Geita...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania kimeandaa kongamano la Madereva wa Serikali litakalofanyika ukumbe wa AICC kuanzia Agosti 19-23, 2024 ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atahuduria kama...
1 Reactions
3 Replies
403 Views
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, Baadhi ya abiria katika treni inayopita kijiji cha katambuke, kata ya Ugala, wilayani Nsimbo, mkoani Katavi wanadaiwa kurusha kurusha...
6 Reactions
8 Replies
502 Views
Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu, Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa...
26 Reactions
42 Replies
1K Views
Mimi ni Mstaafu ninalipwa pensheni yangu toka HAZINA. Mbona mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024 na leo ni tarehe 13.8.2024. Je, Serikali imeishiwa fedha?
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
story fupi, tamu na yenye kufundisha[emoji45][emoji45] soma hadi mwisho [emoji116][emoji120] Ni Kawaida Sana kupita sehemu ukasikia tangazo la mtu kununua pesa za kigeni pesa mbovu au pesa za...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni kawaida sana kupita sehemu ukasikia tangazo la mtu kununua pesa za kigeni, pesa mbovu au pesa za zamani. Yes, pesa hizi zinanunuliwa kulingana na thamani; mfano elfu 10 mbovu atakupatia elfu 8...
10 Reactions
11 Replies
6K Views
Jamaa angu kanitumia ujumbe na link kuwa ni bofye kuna kutumiana hela hadi kiwango cha 3,464,000 Hiyo link uki bofya inakupeleka hadi WhatsApp? Anayejua undani wa hii kitu atujuze
6 Reactions
25 Replies
1K Views
hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla. teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini...
6 Reactions
62 Replies
2K Views
Habari wakuu naombeni msaada wenu, Nimeingia katika mfumo wa ticket online wa SGR lakini hakuna urahisi wakukata ticket kwa treni ya saa kumi na moja na nusu alfajiri. Kuna njia mbadala wakupata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom