Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Baada ya Magufuli kuingia madarakani, aliwapa hadhi idara ambazo ni idara tu na kuongeza matumizi yasiyo ya Lazma. Hili jeshi la zimamoto ni mzigo kwaTaifa na sasa tunaomba mh Samia Suluhu...
2 Reactions
8 Replies
636 Views
Habar wadau hivi dodoma Kuna gari zakuondoka usiku wa saa tatu nakuendelea?
2 Reactions
9 Replies
502 Views
Nimepokea kwa masikitiko sana baada ya kuona baadhi ya vijana waliopata nafasi ya kushughulikia zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga Kura. Jimbo la Bukoba Mjini wakitapeliwa kiasi Cha...
6 Reactions
9 Replies
531 Views
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje. Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank. Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na...
28 Reactions
173 Replies
6K Views
Aliyemuweka SSH madarakani nani kama sio Magufuli? Magu aliona mbali akamuweka mtu ambaye ataendeleza legacy yake. Ni mradi hupi aliouanzisha Magu umesimama? Miradi mingi imekamilishwa na...
1 Reactions
5 Replies
373 Views
Nimeona tamaduni za Kiyahudi, Uislamu na ukristo chimbuko lake ni Asia. Hivi ni kweli Mungu aliona muhimu kuwaleta mitume kwa bara hilo tu? Majibu tafadhali.
3 Reactions
22 Replies
499 Views
Mtaalamu wa Tiba ya Akili na Saikolojia: Ikipita mwezi hujalia hadi kutokwa machozi utakuwa na tatizo kubwa la akili, jitahidini mlie tafadhali. Pia soma: Ongezeko kubwa la wagonjwa wa akili...
3 Reactions
24 Replies
888 Views
Leo Roho Mtakatifu kanitembelea na kuniagiza GENTAMYCINE nije kuwapeni huu Ushauri mzuri nikiamini utawafaa Ok?
2 Reactions
10 Replies
581 Views
Kuna msemo wanasema ukitaka kuwa maskini kaishi na maskini, nzi wote watakuja nyumbani kwako kwa sababu wewe kwako ndiko vitu vinatupwa, then utajikuta unapata magonjwa na utakufa. Nimeipita...
28 Reactions
38 Replies
2K Views
Kama ulikua hujui Dolla 100 ya Kimarekani imeandikwa in In God we Trust Tunasemaga wazungu hawamwamini Mungu. Mbona wameenda mbali hadi kumwandika Mungu kwenye pesa. Nimeamini wazungu...
15 Reactions
93 Replies
3K Views
Vyombo vya habari vimeposti kwa wingi habari ya tuzo za wasanii kuliko kujadili habari za ndugu zao waliokamatwa. Je, vyombo hivi vinahitaji nani aje kuwasemea? Kama wao wenyewe wanashindwa...
1 Reactions
8 Replies
330 Views
Leo ni siku ya vijana duniani, ni vyema isipite hivi hivi bila kutia neno kwa vijana Sore tunajua moja ya kundi lenye ushawishi na nguvu, ni vijana Moja ya kundi ambalo hutajwa kama taifa la...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
hii app inaitwaje wadau msaada
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Wakuu nimeona hii youtube.Binafsi nimeumia sana. “washiriki wa Tanzania wameendelea kurudisha ukame nyumbani kwa zaidi ya miaka 50 bila midali ya dhahabu.” Ni huzunini kwa kweli...
0 Reactions
6 Replies
352 Views
Amani iwe nanyi. Katika pita pita zangu huko TikTok, nikaona "anonymous member" mmoja anaelezea utajiri wake ambao kwa sasa hana amani nao na hautaki tena. Binafsi (sijui ni njaa) sijaona kama...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Habari wadau Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee. Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu? halafu Mungu anatoa sadaka ili...
15 Reactions
95 Replies
3K Views
Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
"What has 4 letters, Sometimes has 9 but Never has 5.?" Leteni majibu hapa!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Uongo ni kitendo au hali ya kupotosha jambo, uongo ni dhana iliyokuwepo tangu enzi na enzi huwezi kushangaa mababu zetu. Zamani walitengeneza hadithi nyingi za uongo ili kucontol tabia za vijana...
3 Reactions
12 Replies
348 Views
Mark Zuckbereg - Facebook, Whatsapp, Instagram, n.k. Bill Gates - Microsoft Tayari walikuwa wametengeneza pesa, wana wafadhili wa projects zao...Wewe kijana unaetaka kuacha masomo kitu pekee...
3 Reactions
3 Replies
226 Views
Back
Top Bottom