Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Matokeo ya utafiti wa nguvu kazi iliyofanyika mwaka 2021, inaonesha kuwa kati ya vijana milioni 14.6 wenye uwezo wa kufanya kazi, vijana milioni 1.8 sawa na asilimia 12 hawana ajira. Tatizo la...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kuwashikilia baadhi ya Viongozi na Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadhi ya Waandishi wa...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Nayee? Miaka mingi iliyopita, miaka ya tisini kuja elfu mbili. Kuna watu wanajiuliza tisini juzi tu!? Leo ni miaka 30 iliyopita, vijana waliobahatika kwenda shule walipata ajira serikalini kwenye...
7 Reactions
12 Replies
473 Views
Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Agosti 12, 2024 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete alisema kuwa serikali...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Wazazi na walezi wa wanafunzi wilayani Masasi mkoani Mtwara wamelazimika kuweka sahihi za kuingia mikataba ya kuhakikisha vijana wao wanafanya vizuri kwenye mitihani yao. Lengo la mikataba hiyo...
1 Reactions
0 Replies
189 Views
wakuu kwema? Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani? Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
0 Reactions
4 Replies
236 Views
Wakuu nna tatizo sijui ni mimi au kwa wengine pia,nikitaka kufungua PM nakutana na kitu kama nilivyoweka hapo chini,na mimi natumia browers ya Phonex
0 Reactions
6 Replies
300 Views
Ukisoma visa ya Idd Makengo, utagundua 99% ni visa vya kutunga. Yaani anatengeneza mtiririko wa matukio bandia ili apate likes na comments akuze page yake. Sasa kwenye comments unakutana na...
5 Reactions
15 Replies
535 Views
Pension zinazolipwa na Hazina kwa Wastaafu zimekuwa zilicheleweshwa bila taarifa kwa wastaafu. Hadi sasa tarehe 12 July 20124, pension hizi hazijapatikana. Pension hizi huwafaa wastaafu katika...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Mara nyingi tunaona na tunasikia kwenye vyombo vya habari kuhusu Wosia kupingwa Mahakamani kutokana na utata wa wosia huo. Hali hii husababisha kesi ya Mirathi kutumia muda mrefu hadi kukamilika...
1 Reactions
15 Replies
697 Views
HERI YA SIKU YA VIJANA ULIMWENGUNI Tangu pale Vijana wamekuwa vinara wa maendeleo kwenye bunifu za kidigitali, leo tunawatakia Vijana wote kuendelea na moyo wa kufanya bunifu zaidi...
2 Reactions
3 Replies
286 Views
Hakikisha Angalau amesafiri nje ya nchi Angalau nchi mbili. Elimu matembezi ( exposure) ndio elimu kubwa kuliko elimu ya chuo. Vyuo sasa ni vyanzo vya mapato vya wamiliki sio vyanzo vya elimu...
15 Reactions
17 Replies
410 Views
Maisha yangu nimeshuhudia misiba mingi na mengine tumeona ya wakubwa na wadogo hapa kwetu kwa imani mbalimbali. Kilichonileta hapa kutofautisha misiba ya maskini na matajiri. Misiba ya maskini...
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Tunapozungumzia Dark Side, tunazungumzia upande wa giza. Kila unayemuona kwenye ulimwengu huu ana upande wake wa giza ambao hataki watu wengine waufahamu. Hata wewe unayesoma hapa una upande wako...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Vyanzo vyangu vinanitonya kuwa Dkt Bashiru Ally anaweza kutangazwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa kuchukua nafasi ya Kinana. Shida niliyogundua kwake kipindi akiwa Katibu mkuu ni kuamini...
0 Reactions
5 Replies
422 Views
Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
0 Reactions
0 Replies
165 Views
TAFITI ZINAONYESHA 80% YA WAHALIFU DUNIANI IKIWEMO MAJAMBAZI, WABAKAJI, WAUAJI, MASHOGA WAMELELEWA NA SINGLE MOTHERS YAANI FATHERLESS Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Andiko hili halipo...
19 Reactions
79 Replies
2K Views
Vijana mnachosha sasa na mmekuwa kero, mnakomaa na maduka ya watu na akija mteja mnamparamia kana kwamba wateja wengine hawajui kilichomleta kariakoo au hafahamu bei ya kile alichokuja kukinunua...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
KATIMBA ATOA MAAGIZO UJENZI SOKO LA KISASA LA MULEBA Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemwelekeza mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera akamilishe...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Paap...! Nimeamka asubuhi nikawaza jinsi tu waafrika tunavyojidharau. Nikasema kwa nini tusiwakomeshe wazungu siku moja?? Tuchukue madini yetu, tutumie kama pesa...yaani nipe dhahabu nikurudishie...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom