Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kama serikali Haina dini Wala kabila Kuna haja gani ya kuulizwa taarifa kama hizi, nilienda hospitali kutibiwa na Kadi ya NHIF nikawa naulizwa mambo haya imeniuma sana kwa kuwa mimi sioni kama...
2 Reactions
17 Replies
638 Views
Kuanzia wiki hii hadi katikati ya mwezi wa nane kuna mashindano makubwa sana ya Olympics yanayoendelea huko Paris, Olympics ni mashindano makubwa zaidi baada ya kombe la dunia. Mashindano ya...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Hawana Hila Wala chembe ya uigizaji,wao wanayaishi maisha katika uhalisia wake,mijini kumejaa maigizo ,utapeli ,na Kila uovu usio na kikomo.
2 Reactions
5 Replies
188 Views
Dodoma Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeshiriki uzinduzi wa michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) ambapo taasisi hizo zimehimizwa...
0 Reactions
1 Replies
277 Views
Hakuna sababu ya kuzuia political activity. Vijana wanalia, literally,kwa sababu wananyimwa haki zao za kikatiba. Msajili wa vyama badala ya kufacilitate political activity,yeye anataka kuizuia...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Habari wakuu! It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya...
25 Reactions
227 Replies
19K Views
Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke. Lakini, kuna video nyingine inasambaa...
19 Reactions
124 Replies
3K Views
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha maisha jela, Erick Kasila (39) baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka matatu likiwamo la kumlawiti mwanamume kwa madai kuwa alimfumania...
12 Reactions
589 Replies
73K Views
Kwanza naonaga salary scale kama inapishana na uhalisia wa mishahara yenyewe, Nakumbuka mshahara wangu wa kwanza ulikuwa 583,600 mwaka 2007 nilivoupokea sikuamini kama nimelipwa mimi haha Kwanza...
11 Reactions
286 Replies
30K Views
Kwani wana muunganiko mzuri na makarani na waheshimiwa mahakimu, infact ni timu ya ushindi wa haraka na mapema!. -Wana muunganiko wa karibu mno hata katika kupindisha sheria. # ILALA #...
2 Reactions
2 Replies
226 Views
HAIWEZEKANI MUNGU ASIMUUE SHETANI ALAFU AAMURU WATU WAUE WANAOFANYA MAMBO YA KISHETANI; HAIINGII AKILINI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Kwenye nyumba za ibada tangu tukiwa Watoto tulifundishwa...
45 Reactions
322 Replies
12K Views
Huko mitaani tunaishi na vijana wa kila namna ila hawa vijana ikiwemo hawa wapiga mizinga ya buku ni hatari sana kwanini nasema ni hatari Unavyotoa buku nakumpa mpiga mzinga sio kwa anashindwa...
7 Reactions
20 Replies
524 Views
Habari za wakati huu!!..Kuna hili suala la uvutaji wa sigara Kila mahali,wavutaji hawajali wengine ambapo hawavuti,hawazingatii eneo wenyewe watakapo jisikia kuvuta eneo lolote wanavuta si...
4 Reactions
12 Replies
306 Views
Baba mkwe ndio mtu pekee anaeweza kunisaidia, ila sitaki mke wangu ajue maana ni msumbufu. Je, baba mkwe wangu anaweza kuliweka moyoni bila kumwambia mwanawe ishu yangu.
4 Reactions
48 Replies
918 Views
1. HALI IKOJE MKOANI KWAKO Ndugu Madereva au Mmiliki? Nataka kuuliza kuhusu mfumo huu, katika mikoa yenu ukoje, Kanda ya kaskazini, Gari yeyote ya biashara ambayo Dereva husika mwenye Leseni...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi ni lini zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kura unaanza. Nahitaji kupata kitambulisho cha mpiga kura kabla sijaondoka nchini
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Leo nilikuwa na issue zangu zilizonipelekea kuamka asubuhi sana kwenda kati ya viunga vya Dar kukutana na jamaa yangu. Sasa niliwahi maeneo ya kukutana nikaona wakati namsubiri ebu nikapate vyombo...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
https://youtu.be/wwNSR3I_daQ?t=157 Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al- Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 100 ambao wapo tayari kuoa.
10 Reactions
115 Replies
2K Views
Wanamichezo watatu wa Tanzania walioko Paris kwenye michezo ya 33 ya Olimpiki ya majira ya joto ya Paris 2024 wameendelea na mazoezi makali chini ya makocha wao, wakijiandaa kwa michuano yao...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu, Nina Account 2 za CRDB, ya kwanza niliifungua mwaka 2020 kwa kitambulisho changu cha utaifa, na ya pili niliifungua 2021 kwa kitambulisho changu cha chuo kikuu muda huo...
0 Reactions
9 Replies
536 Views
Back
Top Bottom