Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
1. Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE (Dubai, Abu Dhabi na Sharjah), Oman, Kuwait, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini. 2. Hakuna NGO's kama Afrika. 3. Hakuna...
31 Reactions
302 Replies
29K Views
Nimeona mjadala mrefu huko mtandaoni wanawake kwa wanaume watu wazima kabisa wako busy wanabishana na kusutana kama inapaswa kuaga au kuomba ruhusa waume/wapenzi wao wanapotoka nyumbani! Kuna...
2 Reactions
5 Replies
323 Views
Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni. Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Wiki iliyopita ulikuwepo mjadala wa utoaji huduma za afya katika hospitali ya Mloganzila. Kwa kupitia uzi ule niligundua watu waliwahi kupata huduma wote walionesha kulizishwa na kuipenda huduma...
3 Reactions
4 Replies
320 Views
Natumaini wikiend iko poa sana twende kwenye mada kuna jamaa yangu mmoja napiga nae mishe yani ni shida kila jambo ukiongea nae au mkashauliana bas lazima lifike kwa mama yake uzuri mama yake...
0 Reactions
7 Replies
250 Views
Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa...
6 Reactions
38 Replies
791 Views
Huyu mzee anaweza kuwa msaada mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kwakutaja hao watu waliomwambia kuwa Rais Samia hafurukuti mbele ya GSM vinginevyo ukimya utathibitisha kuwa maneno yake ni...
0 Reactions
7 Replies
568 Views
Kuna taasisi zinahusu wadada wa kazi hivyo chukua kule.ukipata shida wanafatilia mpaka kwao
0 Reactions
12 Replies
523 Views
Anonymous (6e43)
NACTE Dar es Salaam wana huduma mbovu sana, ukipiga simu hawapokei haswa customer care unaweza kuwapigia hata mwezi bila kupokea simu, pia hata ukifika ofisini kwao wapo bize na mambo yao tu.
0 Reactions
2 Replies
176 Views
Bwana ni mwema ! Hii nimeipata kwenye kitabu chake kinachoitwa DHIKI KUU INAKUJA LAKINI KUNA TUMAINI."sehemu ya 1) UKURASA 102 SURA 16 ISEMAYO. "Kufungwa mlango wa Rehema" Hii ni nukuu Kwa ufupi...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Ni uhuru umezidi au? Yaani watoto wanajifunza nini Jamani? Ukijaribu kuwaza kuwa wanamaanisha nini hata huwezi kuelewa. Mambo ya ajabu ajabu yamezidi hakika. Yaani kipindi kinaendeshwa siku...
9 Reactions
65 Replies
1K Views
Habari za muda huu ndugu wana JamiiForums, Naomba kuuliza hivi huyu mzee anaejiita babu, ambae anarusha matangazo yake ya uganga wa kienyeji kupitia kituo Cha Radio Free Africa, Mwanza ana...
0 Reactions
1 Replies
411 Views
Siku moja nilikuwa napita Kariakoo sokoni. Pale alikuwepo muuza magazeti kapanga magazeti pale, wengine wananunua, wengine wanasimama tu pale kutazama. Ilikuwepo headline pale kwenye gazeti moja...
1 Reactions
2 Replies
212 Views
Habari wakuu, Ni wiki sasa nimekuwa nikiona wadudu jamii ya mjusi wakitembelea eneo ninaloishi. Ni wageni machoni mwangu hivyo wamenitia hofu kwasababu nina mtoto mdogo anayeanza kutambaa...
2 Reactions
100 Replies
29K Views
Mpaka sasa Kenya wameshavuna medali nne za dhahabu katika michezo ya Olympics ya Paris na hivyo kutuwakilisha vizuri Jumuiya ya Africa Mashariki, hata hivyo tuwakanye wasituringie sana majirani...
2 Reactions
11 Replies
228 Views
Maisha ni safari ndefu yenye vikwazo na changamoto nyingi, wakati mwingine unaweza kusema maisha hayana raha na Kama ipo ni kidogo Sana. Hauta sahau nini katika maisha yako?
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Kuna idea challenge moja nimeshiriki leo nimetumiwa hii email kuwa nahitajika kuwasilisha hivi vitu hapa chini. Kwa mwenye kufahamu vizuri zaidi hiyo namba moja ina maanisha niwasilishe nini ?? Je...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Nilikuwa natumia superkasi kwa muda mrefu sasa nikaona nihamie tigo fiber maana kwangu itakuwa cheap na kwa sababu ni fiber latency itakuwa chini hivyo uhakika wa video na voice calls kuwa na...
1 Reactions
2 Replies
235 Views
Salamu, Nimepata taarifa mbaya hapo makondeko Moshi, mzee mmoja kafariki na dereva hoi. Pia soma: Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam...
7 Reactions
19 Replies
921 Views
Anonymous (827b)
Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na...
1 Reactions
4 Replies
272 Views
Back
Top Bottom