Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Andiko la Mdau wa kutoka Goba kuhusu watu wanaotaka kupora nyumba yao baada ya baba yao kupotea: Usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 6, 2023 kuna watu wamevamia katika nyumba yetu iliyopo Goba...
9 Reactions
63 Replies
7K Views
Inashangaza sana! Mwanaume unalala tu kama House girl uko comfortable kabisa? Unasahau kwamba huna tofauti na Mlinzi wa Getini kule! Mwanaume unapaswa kuwa na zana za Ulinzi karibu yako na...
38 Reactions
107 Replies
3K Views
"Amesimulia Abuu Hurayrah (رضي الله عنه): Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: 'Watu saba Allaah Atawafunika katika kivuli Chake, Siku ambayo hakutokuwa na kivuli ila kivuli Chake: (SIKU YA...
2 Reactions
1 Replies
127 Views
Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari wadau wa JamiiForum, I hope wote mko poa. Leo nimefanya tafakari ya kina kuhusu maisha yangu na kuishia kuungana na mwandishi aliyeandika kitabu cha muhubiri kwenye bibilia. Kweli kila...
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent. Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waalimu wa shule za kutwa...
10 Reactions
217 Replies
5K Views
Habari za wakati huu waungwana.. Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu' Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita...
27 Reactions
135 Replies
3K Views
Tatizo la Africa tuna tafuta viongozi ambao ni wana siasa kutatua matatizo yetu ya uchumi wa nchi. ndo maana hatuwezi kupiga hatua ya uchumi umasikini unazidi kila awamu. Mtu ni chawa anapewa awe...
3 Reactions
9 Replies
378 Views
Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia Nini maoni yako👇🏾 https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
2 Reactions
9 Replies
472 Views
Mtanzania Mashauri anatuwakilisha vyema muda huu...
0 Reactions
24 Replies
592 Views
Niko lonely sana, nahitaji ushauri wa jamii. Sina msaada kabisa, sina washauri hasa kisaikolojia Kuna makosa mengi sana nimekosea yamepelekea nikose furaha ya maisha kabisa.
4 Reactions
17 Replies
580 Views
Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana. Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30. Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya...
34 Reactions
102 Replies
3K Views
Mwisho wa miaka ya 1990, uchumi wa China ulikuwa unakua kwa kasi, lakini wajasiriamali wadogo walikuwa wanahangaika kupata nafasi yao kwenye soko la kimataifa. Hapo ndipo alipojitokeza Jack Ma...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Moja kwa moja kwenye mada Ndugu zangu watanzania wenzangu kuna watu wana wagonjwa hospitali ya mloganzila lakini baada ya kufika pale mtu au watu waliokuja na mgonjwa wanakosa sehem ya kukaa au...
4 Reactions
1 Replies
309 Views
Ukisikiliza kelele na malalamiko ya Wafanyabiashara wa route za Dar-Moro-Dom-Singida Wanavyoilaani Sgr na kulaumu Serikali unapata picha jinsi watanzania hatuna ubunifu Wala aggressiveness kwenye...
2 Reactions
12 Replies
841 Views
Kuna migogoro ya idadi kubwa ya chinichini kati ya Kiwanda cha Urafiki na makampuni binafsi, kati ya Kiwanda na wapangaji wa apartments zake na pia kati ya Kiwanda na serikali (Manispaa ya...
3 Reactions
8 Replies
916 Views
Morogoro Arusha.Kiwanda cha kutengeneza nguo cha jijini Arusha A to Z Textile Mills Limited , kimeibuka na ushindi mzito wa kuwa kiwanda bora cha Usalama na Utunzaji wa Mazingira mahala pa kazi...
4 Reactions
3 Replies
484 Views
Ili shamba lina zaidi ya miaka 45 na mpaka reli ilijengwa kwenda maeneo yale. Tungekuwa tumeliendeleza huu uhaba wa ngano sasa ingwekuwa kuna ahaueni. Nadhani ni mda muafaka wadau sector...
18 Reactions
151 Replies
12K Views
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu...
34 Reactions
876 Replies
53K Views
Back
Top Bottom