Siku ya Kimataifa ya Vijana ni hafla maalum ya kuenzi nafasi muhimu ya vijana katika jamii na kutambua mchango wao katika maendeleo. Ni siku ya kutambua uwezo na mafanikio yao huku pia...
Hivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.
Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera akamilishe haraka hatua za...
Msaada wakuu na gharama zake za kutangaza kupotea kwenye gazeti ni kiasi gani? Au kupata Cheti mbadala cha kidato cha nne inachukua muda gani kukipata?
Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji.
Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu.
Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi...
Hatimaye Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) inaenda kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukamilisha ujenzi wa kituo cha kupokea na...
Wadau wana bodi, niko natoka zangu jijini Nairobi kupitia Namanga kurejea Dar na baadaye kwenda nyumbani Katavi. Maajabu baada ya kuvuka Mkata tumekuta mrundikano wa magari, ya kuenda Dar hayaendi...
Wamegoma kabisa kunisaidia kufuta cheti cha degree na mimi niombe hizo za diploma nahisi kuchanganyikiwa ndo tumaini langu la mwisho[emoji24]
Ndugu zangu sijui utumishi sijui wanatakaje maana...
Kumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amezitaka Idara mbili zilizopo chini ya Wizara yake ambazo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania(THRDC) umelaani vitendo vya kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bara, Tundu Lissu, Katibu...
Je chini ya udongo kuna sukari? Nauliza ile sukari kwenye miwa (mua) inatoka wapi?
(2) Kwa nini mgomba unazaa ndizi? Mti wa mchungwa huzaa tunda la chungwa, muembe huzaa tunda la embe, mlimao...
Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini...
Naongea na wewe mbaba mwenye komwe na mindevu kama BABA UBAYA!
Juzi nimekutana na KAMAMA kamezalishwa mtoto wa kiume na kutelekezwa, kanalia lia njaa, mara ooh nina njaa, mwanangu hajala.....mara...
Habari,
Nataka niende Bukoba..je Kahama Kuna gari za kwenda Bukoba na zinaondoka saa ngapi..na gari Gani nzuri kufika Bukoka ...nauli ni shingap nani mwendo wa masaa mangapi?
Serikali imeombwa kukiongezea nguvu Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi ili uzalishaji wake ufike tani 75,000 kwa mwaka kutoka makadirio ya tani 50,000 za sasa.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa...
Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu...
Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti
Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.