Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?
Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa...
Huwa tunaona Serikali ikitoa taarifa za makusanyo ya kodi kila mwisho wa mwezi na mwisho wa mwaka, hilo ni jambo zuri ila sio la muhimu sana kwa wananchi walio wengi.
Ni wananchi wachache sana...
Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amezungumzia taarifa kuwa Treni inayofanya safari zake Dar es Salaam – Arusha ‘imekufa’ na haitaendelea kuwepo...
Wataalamu wa mambo ya sheria mtakubaliana na mimi kuwa mkataba wowote halali lazima uwe na kipengele cha kuvunja ambacho kinaeleza ni mambo gani yanaweza kupelekea mkataba husika kuvunjika.
Kwa...
Mwenendo wa Ukusanyaji Kodi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kipindi cha miaka 7
2018/19: Tsh. Trilioni 1.20
2019/20: Tsh. Trilioni 1.26
2020/21: Tsh. Trilioni 1.29
2021/22: Tsh...
Hii nchi inazidi kuoza tu hii imenisikitisha sana
MJAMZITO AFARIKI KATIKA MAZINGIRA YA UTATA KITUO CHA AFYA MBEZI YA KIMARA, DAR ES SALAAM!
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Ndugu yetu Elizabeth...
Hili ni swali ambalo nimelileta kwenu wakuu , maana sarakasi zinazoendelea baada ya Mzee Mengi " kutwaliwa " zimeanza kunitafakarisha .
Ningependa kujua sababu hasa za chama cha Wajane Tanzania...
Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Mlandizi mkoani Pwani. Akizungumza na kwa njia ya simu na Mwananchi Digital Agosti 4, 2024...
JamiiForums watu wanazidi kuongezeka hasa vijana hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi kubwa sana.
Sehemu yenye watu wengi kama hivi ni lazima kuna kuwa na watu wenye tabia mbali mbali na michango...
wakuu wikiendi inaenda?
Nakumbuka ilitoka list ya vitu unavyoruhusiwa kubeba na kuingia navyo ndani ya SGR, pamoja na vile ambavyo ukiingia unavikuta, yaani viburudisho.
Sasa kwanini...
1:Namba za Magari Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu
Namba za magari yanayitumika kumbeba Rais au Makamu wa Rais na Waziri Mkuu haziandikwi namba wale herufi katika kibao chake, bali huwa na...
Maisha si bahati, maisha ni mikakati thabiti na mipango. Ingawa mara chache maisha huweza kuwa bahati. Binafsi nasema kuwa mtu yeyote anayeishi kwa kusubiri bahati imwangukie huyo ni tahira...
Taasisi yangu wanahitaji fundi mchomeleaji mwenye cheti cha long course ambayo ni miaka 2 na mimi kutokana na swala la ada kusomea kozi ya miaka 2 sina.
Ila nahitaji kujua kuchomelea na ufundi...
Hususan Maeneo ya Vijijini na hata baadhi ya Familia Mjini Mwanamke akianza kutambua na kudai haki zake huonekana ana kiburi sana.
Halafu cha kushangaza sasa unakuta wanawake ndio wa kwanza...
China imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa...
Licha ya kuwepo kwa mwamko wa wananchi kujenga nyumba kupitia fedha zao za mfukoni, hali inaonyesha kuwa huwachukua wastani wa miaka kumi hadi miaka 15 kumaliza kujenga nyumba hizo.
Hayo...
Habari wana jukwaa, tujadili kuhusu hili...
kama una wazazi wawili, utakuwa na 4 grandparents, 8 great grandparents ect.....
Katika generation 20, utakuwa na mababu na mabibi 1,000,000. Kila...
Kwa wale watumiaji wa mtandao wa Vodacom ambao bado hamjasanuka basi nawasanua unaweza kupunguza spidi ya intaneti yako ili kuzuia bado kuisha haraka.
Kwa kawaida usipo-limit matumizi ya spidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.