Habari za asubuhi wana jamvi, bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Najua wengi mtakua mashuhuda wa mada tajwa hapo juu. Binafsi ni zaidi ya mara moja nakutana na...
Habari ndugu wana jamii forums, naombeni ushauri kwa wataalam wa mambo ya umeme.
Nyumba yangu ni ya vyumba vitatu, natumia umeme kwenye taa, feni, tv, fridge na heater mara moja moja. Umeme...
Katika historia ya nchi yetu, kumejawa na watu mbali mbali waliotikisa vyombo vya habari Kwa kufanya mambo makubwa Kwa ajili ya nchi yetu katika nyanja mbalimbali ikiwemo wapigania uhuru...
Katika mitandao ya kijamii leo umesambaa waraka unaonekana kuwa ni wosia wa mwisho wa Mzee Regnald Mengi
Katika wosia huo ameonekana kuacha mali zake zote kwa aliyekuwa mke wake wakati anafariki...
Watanzania naomba kuwataadharidha na hili kundi linajiita BLACKROCK-009 wameliza sana watu wakijinfanya kununua kifurushi na wewe kuwekewa pesa kutokana na kifurushi utakacho nunua.
Ni kama DESI...
Isiwe ni maneno dhahiri kwako lakini ninavyochunguza na kupitia uzoefu kwa wengine ni kuwa kadri umri unavyozidi kuongezeka ndivyo wengi wetu tunakosa furaha. Hii huweza kuchangiwa na mambo...
Prof. Suleiman Daudi alikuwa genius sana. Aliweza kugundua vitu vya deep sana.
Ukigundua alichokuwa anamaanisha Professor Solomon hapa utapunguza 50% -75% ya changamoto zako.
AMANI INAPIGANIWA
UHURU HUPEWI BALI
UNAPIGANIWA/AFRIKA WAMEJAA MATAPELI.
✓Julius MALEMA ANAKWAMBIA ya kwamba Mataifa ya Afrika magharibi wakiwa huru na kuachana na Mfaransa basi Mfaransa lazima...
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi...
Wasalaam JF
Nimejaribu kufuatilia vituo vingi vya habari na hata mazungumzo ya baadhi ya maeneo niliyopo na kushtushwa na kupotea kwa umaarufu ya sikukuu ya wakulima 8/8.
Katika fuatiloa yangu...
Wakuu kwema,
Kama Kuna Mtanzania yeyote anayeishi nchini Singapore pengine kikazi,kibiashara au kimasomo naomba anipe uzoefu wake maana nimepata partial scholarship ya master's hivyo nikahitaji...
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amefanya ziara ya kushtukiza katika mashamba ya wakulima mbalimbali eneo la Mang’ola wilayani Karatu...
Katika jamii yetu kawaida ya watu wanashindwa kufikia malengo Yao kutokana na kile wanachoamini kuwa kipato hakitoshi.
Kiuhalisia ukimuuliza matumizi yake ni shi ngapi kwa mwezi au kwa siku...
Wahubiri wa imani ya Kikristo, ni muhimu kutoa maelezo fasaha mnapozungumzia masuala ya ulimwengu wa roho. Mara nyingi, unamsikia mhubiri akisema, "Naona katika ulimwengu wa roho..." lakini ni...
Majina yamebeba maana! Majina yanaweza kumfinyanga mtu akafanania na jina lake.
Kenneth ni jina la kiume.
Lina maana gani hasa katika mtazamo wa kiroho?
Habari ya 8 8 viongozi,
Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania.
Nitaanza kama ifuatavyo.
1. Dar es Salaam na viunga vyake
Ebhana hii sehemu...
Moshi
mbunge wa jimbo La Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro, Prof Patrick Ndakidemi amefanya ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa ofisi ya Tarafa ya Hai Mashariki iliyopo katika Kata ya Kimochi...
Vyanzo vingi vinaonesha nchi hizi ndio zinaongoza kwa kuwa na imbalanced work force, Yaani baadhi ya nchi kwenye hii orodha ni mwiko mwanamke kwenda chuoni, kazi zinabanwa ziwe kwa wanaume tu.
Huwa nashangaa mno haya mambo yanavyokuzwa, huenda ni zamani sana ilikuwa hivyo lakini kwa sasa mambo yamebadilika.
Ukweli ni kwamba majeshini na hata kambi kibao za majeshi wakurya wapo lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.