Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari mdau wa jamvi hivi unafikiri ni kwann matukio ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia yameongezeka sana kwa sasa Je ni hatua gani stahiki zinapaswa kuchukuliwa kutatua janga hili
3 Reactions
5 Replies
190 Views
Jina Kamili: Solomoni Sauli Mwalabhila Kuzaliwa: August 01, 1978 Mahali: Mbeya Elimu Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Chunya kati(1988-1995) Kazi Alijiajiri kuanzia mwaka 1997, alianza...
24 Reactions
157 Replies
9K Views
Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa, sasa inakuwaje cheti ambacho...
8 Reactions
16 Replies
656 Views
Aisee wanajamvi leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra. Sio kupunguza mwendo ni kutosimama kabisa. Nilikuwa sijui kama ndio hivyo. Kwan nilipunguza mwendo na hakukuwa na watu...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Hello! Niliwahi kupost mada kama hii miezi michache iliyopita. Leo ninaipost tena baada ya kufanya utafiti tena na tena. Watu wengi wanadaiwa sio mchezo. Hata Mimi niliwahi kuvamiwa na roho ya...
15 Reactions
26 Replies
1K Views
Rest in peace mwamba sauli December 2018 Chuma zake za Kwanza Sauli Gemilang DPN na Sauli Benz DPC. Zilionekana Maeneo tofauti Tofauti Ubungo Riverside, Kibaha Na Msamvu Zikielekea Kwao Chunya...
11 Reactions
75 Replies
3K Views
Nani aliyeanzisha huo uhuni wa kwaya kuimba kama wasanii wa bongo flavour na playback? Mchungaji Paul Semba yuko sahihi kukemea huo ushenzi. Hata katoliki mnaowasimanga hawawezi kufanya hiki...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho ya 3 ya Biashara, Viwanda, Madini na Kilimo ya...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Mtakeni Bwana Na Nguvu zake
1 Reactions
0 Replies
108 Views
Wafanyabiashara wadogo walioondolewa pembezoni mwa barabara Mwaka 2022 na kupelekwa katika eneo la Kata ya Majengo ilipokuwa Stendi ya Zamani ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe...
0 Reactions
2 Replies
603 Views
KAMA mzazi au Mlezi moja ya lengo kuu la Malezi ya Mtoto wako linapaswa kuwa: "Kumfundisha kujitegemea".... MTOTO anapaswa kukulia katika Malezi yanayompa Changamoto ya kukuza Ujuzi, ukakamavu...
3 Reactions
2 Replies
424 Views
Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani. Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue. Kama uongozi wa wahehe wakati...
1 Reactions
1 Replies
246 Views
Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha...
0 Reactions
3 Replies
549 Views
Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma...
5 Reactions
20 Replies
852 Views
Mteja? wacha nikwambie maana yake. Ukipiga simu halafu isipatikane si unajibiwa kuwa, "mteja wa simu unayempigia hapatikani kwa sasa." Sasa huko Kenya tangu zilipoingia simu za mkononi, mtu...
12 Reactions
60 Replies
7K Views
Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' . Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo...
10 Reactions
60 Replies
1K Views
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho! Hakuna mwenye matumizi asiyepigika! Hakuna kipya kisichozeeka! Hakuna mapenzi kitandani yasiyo na mshindo! Hakuna penzi lisilochuja! Hakuna kisicho na...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna ishu nataka nifix mtandaoni Sasa nimekuta Wana hii type of payment naomba mnielekeze nitumie hipi ambayo inasupport apa bongo
0 Reactions
1 Replies
178 Views
This is exclusive! Mkurugenzi wa vipindi wa kitengo cha tamthilia za kiswahili zinazoruka kupitia kisimbuzi cha DSTV mwanamama Mtanzania Barbara Kambogi sambamba na msaidizi wake bwana Onesmus...
65 Reactions
313 Replies
23K Views
Back
Top Bottom