Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kitendo alichofanyiwa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo, ni kinyume cha sheria na maadili ya Mtanzania.
Amesema binti huyo kwa sasa yupo...
Kwa Tanzania hasa watu wa kanda ya Kaskazini wana matumizi mabaya sana ya neno bilionea. Ukiwa tu na uwezo wa kumiliki gari nzuri ya thamani kubwa, bus kadhaa za usafirishaji au ghorofa maeneo ya...
Hilo tukio lina zaidi ya wiki sasa ila sijasikia polisi ikitoa taarifa za kuwafikisha mahakamani watuhumiwa hao zaidi nimesikia mtu mmoja aliyeshikiliwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uzushi juu...
Natumaini muwazima. Shida hazina adabu unajikuta unaingia online unaanika taarifa zako na unapewak kamkopo ka sh 20,000 interest kuuubwa.
Lakini naomba kuuliza kuhusu usalama na hali halisi ya...
Nimekaa na kuishi na watu kadhaa, unamtendea sivyo ila yeye ana smile tu. Hasemi kitu.
Yeye pamoja na mabaya yanayofanywa na watu wanaoona wako sawa na wabishi yeye kazi yake ni kuongea kidogo...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Hatuwezi kufanana kwa kila hatua,maamuzi au michakato inakuwaje tunaforce mtu apende kitu ambacho unakipenda wewe?
Tunaishi katika ulimwengu wa kibepari kila mtu amepatiwa uhuru sawa wa...
Awamu ya 6 Chini ya Rais Mwanamageuzi Dr.Samia imeendelea kupata mafanikio makubwa kwenye sekta ya Viwanda Kwa vitendo.
Ndani ya miaka 3 hii Rais Samia amewezesha ujenzi wa viwanda Vingi sana...
Kuna na Upendo Peneza pia
Manara msemaji wa Yanga deep down ni SIMBA 100% Kaenda Yanga kwa sababu ya njaa tu
Msigwa si mwana CCM kwa hali iwayo yote.. Njaa iliyokimbilia kichwani ndio iliyompeleka...
Hopefully wote tupo njema tukiendelea kupambana na hali zetu. Kutokana na hali ya tz kubana sana kumekua na harakati mbali mbali za raia kujaribu kupeperuka na kusaka maisha sehemu tofauti tofauti...
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.
Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu...
Mimi ni mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy nimemaliza toka Februari mwaka huu. Natamani sana kuomba chuo, pia natamani sana kuomba mkopo lakini mpaka sasa chuo kimetuangusha...
Zamani enzi zetu, kila mwaka tulikuwa tunaona gari la waguzi wanakuja na kukaa shuleni walau siku tatu hadi wiki wakifuatilia maendeleo mbalimbali (sifa za waalimu, vifaa, majengo nk nk)...
Wakala wa Uhifadhi wa Chakula Nchini (NFRA) ,umeanza rasmi kutumia mfumo wa kidijitali katika kupima mazao ya nafaka, hatua ambayo imeelezwa kuwa itakuwa na tija kwa pande zote mbili ikiwemo...
Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika.
Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa...
Utasikia kuwa Rais ajaye hawezi kutoka dini fulani kwa sababu Rais aliye madarakani tayari ni wa dini hiyo.
Rais hawezi kutoka kanda fulani kwa sababu hiyo kanda ilishatoa Rais.
Rais hawezi kuwa...
Wakala wa Uhifadhi wa Chakula Nchini (NFRA) umeanza rasmi kutumia mfumo wa kidijitali katika kupima mazao ya nafaka, hatua ambayo imeelezwa kuwa itakuwa na tija kwa pande zote mbili ikiwemo...
Wakala wa Uhifadhi wa Chakula Nchini (NFRA) ,umeanza rasmi kutumia mfumo wa kidijitali katika kupima mazao ya nafaka, hatua ambayo imeelezwa kuwa itakuwa na tija kwa pande zote mbili ikiwemo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema serikali inatambua umuhimu wa wakulima nchini katika kuisaidia nchi kuwa na chakula cha kutosha.
Rais Samia ameeleza hayo Jijini Dodoma wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.