Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kama mnakumbuka vyema, Novemba ya mwaka jana niliwaletea hapa taarifa kuhusiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo, Barbara Kambogi kusimamishwa kazi kwa tuhuma zilizowasilishwa...
17 Reactions
46 Replies
3K Views
Akichangia mada kwenye dira ya Uchumi, Waziri wa Uwekezaji na Mipango Profesa Kitila Mkumbo amesema wastani wa umri wa kuishi wa Mtanzania umeongezeka Kwa miaka 14 kutoka miaka 52 (2000) Hadi...
0 Reactions
5 Replies
246 Views
Hiyo ilitokana na utofauti wa tarehe ya kuzaliwa iliyopo kwenye nyaraka zangu za NSSF na nyaraka zangu uraia. Utofauti huo ulikuwa ni tarehe tu ila mwezi na mwaka vilikuwa sawa. Ok, nilifungua...
1 Reactions
2 Replies
669 Views
Nimekutana na Clip ya Mheshimiwa Rais ikielekeza watanzania kutii na kuacha miradi ya serikali ipite kwenye maeneo yao na ikishakamilika ndo wadai fidia. Nimejaribu kujiuliza hivi Rais amewaza...
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine? Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu. Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao...
6 Reactions
50 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa jarida la Forbes Elon Musk ndiyo tajiri namba moja duniani, akiwa na utajiri wa Trilioni 627 Kwa mchanganuo wa utajiri wake, akisema kila siku atumie Bilioni 2 na milioni 600. Basi...
3 Reactions
9 Replies
739 Views
Formula; "ONDOKA" 'ACHA' NDIO MAANA HALISI YA KUPATA MAFANIKIO. Anaandika, Robert Heriel Mwanafalsafa Nitakuambia ukweli na siri wala sitakuchaji hata sumni wala shilingi yoyote. Vitu...
32 Reactions
45 Replies
5K Views
December 2018 Chuma zake za kwanza Sauli Gemilang DPN na Sauli Benz DPC. Zilionekana Maeneo tofauti Tofauti Ubungo Riverside, Kibaha na Msamvu Zikielekea Kwao Chunya Kwa Ajili Ya Utambulisho...
1 Reactions
4 Replies
344 Views
Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania...
10 Reactions
92 Replies
9K Views
Mwaka 2018 mzee wangu alilitoa shamba la familia lenye ukubwa wa heka 4 likiwa pamoja na miti ya mbao. Maamuzi ya kutoa sadaka shamba la familia aliyafanya mwenyewe bila kumshirikisha mtu yeyote...
26 Reactions
371 Replies
10K Views
Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network. Network ni namna...
33 Reactions
25 Replies
1K Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepata taarifa kupitia mitandao ya kijamii na taarifa maalum kwa Umma kutoka kwa Jeshi la Polisi Tanzania juu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwa kutumia mfumo huu wa ‘Human UBER Service’ (HUS) mtu anakuwa Na uwezo wa kwenda hadi Dodoma toka Dar ‘Virtually’ bila kusafiri, ambapo atafanya kazi zake Dodoma na kurudi Dar, muda wote hio...
3 Reactions
15 Replies
705 Views
Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa...
8 Reactions
24 Replies
740 Views
Muda au kipindi gani nauli ya ndege inakuwa bei nafuu kuja USA, Mji au STATE gani ni nzuri kuhamia na kufanya kazi(yoyote) Kuosha wazee , kuosha vyombo, udereva, na kazi kama hizo, Nipo serious...
6 Reactions
25 Replies
912 Views
Sauli ni kampuni ya bus za kusafirisha abiria kutoka Mbeya kuja Dar na Dar kwenda Mbeya, kampuni hii ina takriban miaka miwili toka ianze kazi rasmi katika ardhi ya Tanzania. Katika miaka miwili...
23 Reactions
68 Replies
15K Views
Kuna hii tabia ya kurudisha mabaki ya mteja kwenye chakula Kwa wafanyabiashara hasa wa maeneo ya kawaida japo huwa hatuoni ila utakutana nayo tu. Juzi Kuna mtu kasema aliwahi shuhudia mama ntilie...
25 Reactions
136 Replies
3K Views
MMILIKI wa maduka ya nguo Jijini Dar es Salaam,Hussein Mkangala (38) maarufu 'Hussein Pamba Kali' amefunguliwa mashtaka ya kesi ya madai baada ya kushindwa kulipa Sh.Milioni 75 alizokopa kutoka...
1 Reactions
139 Replies
22K Views
Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi. Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba...
4 Reactions
5 Replies
746 Views
Kama serikali inavyosema kila mara kuwa imejenga shule nyingi za kata na lengo kubwa ni kutaka watoto wa kitanzania wasome. Lakini cha kushangaza ni kwamba watoto wengi sasa hivi wanauza mifuko...
13 Reactions
66 Replies
1K Views
Back
Top Bottom