Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar...
Wakati China na Afrika zikiendelea kutafakari kwa kina mafanikio yao tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, mwaka 2000, wadau wanasisitiza umuhimu wa pande...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema Binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai, hajafa kama ambayo imeripotiwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii.
Kamanda wa Polisi...
Kampuni ya Kitanzania ya Agricom imekabidhi vifaa na zana mbalimbali za kisasa za kilimo kwa serikali kupitia Wizara ya Kilimo, wakati wa maonyesho ya Nane Nane yaliyofanyika Dodoma leo.
Hafla...
Mataa ya barabara ya Iringa - Morogoro ni mabovu, huwa muda mwingi yamezima na ni hatari. Vyombo vya usafiri vinapita kwa kuviziana. Magari, pikipiki na bajaj ajali nyingi zinatokea.
Mamlaka...
Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa!
Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa...
Ningependa kushare na nyinyi kile ambacho nimebaini, ingawa siyo mhusika wala msimamizi/mwandikishaji.
Majuzi, tarehe 5, nilikwenda Katoro kwenye kata yangu na kuamua kubadilisha kadi yangu ya...
Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.”...
Nilishakuja na uzi apa unaohusu aina za utajiri ambazo ni common Tanzania ukiwemo utajiri ambao mtu anapewa kidonda ambayo kadiri kinavoongezeka ndo pesa inaongezeka
Ila amini kwamba shetani awezi...
Why do some of God's major projects or plans misfire? Kwa kutumia akili yangu ya kawaida tu ya kibinadamu nimekuwa nikijiuliza hilo swali na hapa nitatoa mifano kadhaa:
1. Kwa mujibu wa maandiko...
Salaam
Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume.
Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni...
Tuchukulie mfano wa shuka. Uzi uliotumika kushona shuka ni 1 dimension. Ukiurefusha unaweza kufika mamia ya mita kwa urefu. hata mwisho wake unaweza usiuone.
Shuka lililoshonwa ni 2 Dimension...
Habari!
Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini.
Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's...
Habari.
Leo ni siku ya tatu toka toka nipate taarifa juu ya sakata la msichana ambaye kimuonekano hata miaka 20 bado hajafikisha mkazi wa Yombo Dovya.
Nikiwa kama raia na mtumiaji mkubwa wa...
Nimegundua ndege wengi hawaoni kioo, ukitenga kioo mbele ya ndege wengi hua wanajigonga kwenye kioo ishara kwamba hua hawaoni kama kuna kitu mbele yao.
Nadhani ni kwa kuwa kioo ni transparent...
"Unajua kuna watu wanapitapita huko na kusema serikali hii kazi yake kufuja pesa, inanunua magari ya watendaji badala ya kununua trekta sasa nataka niwaambie, unajua mipango ina art yake hatuzuki...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.
Akihutubia katika...
Takribani mwezi mmoja wakazi wa kata ya Kawe tunataabika na kero ya kukatika maji kiasi bila sababu yoyote ya msingi jambo linalotishia mlipuko wa magonjwa kama kuhara na kipindupindu kutokana na...
Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zinazoanza kutumika leo Agosti 7, 2024 ambapo kwa Dar, Petroli imepanda kutoka Tsh. 3,210 hadi Tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.