Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari ya leo wadau. Salamu kwa Rais Samia. Mimi ni Mwanachi wako mkazi wa Goba mwaka wa 12 huu. naleta malalamiko kuhusu njia ya Tegeta A iliyoungana na Kulangwa Nimeishi huku miaka mingi na...
0 Reactions
8 Replies
357 Views
Aliyesambaza taarifa kapatikana waarifu Bado hawajapatikana😂# JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Amos Lwiza (54) mkazi wa Tegeta Wazo wilaya ya Kinondoni mkoani humo...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
USAMBAZAJI WA UMEME KWENYE VITONGOJI 374 VYA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Takwimu: (1) Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374 (2) Vijiji vyote 68 vina miundombinu ya...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, leo nimejaribu kudownload app ya Azam pesa na kujaribu kucheki gharama zao, kiukweli wana gharama ndogo sana ukilinganisha na MNO wengine, ila shida sasa ni...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hapa sisemei kwamba mtu ana phd / masters / degree ya udaktari, uhandisi, uhasibu, Sheria, masoko, IT. La Hasha !! Hizi taaluma ni kipengere kidogo kwenye elimu, mtu alieelimika huwa kajenga...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea...
5 Reactions
12 Replies
354 Views
Tarehe 8 Agosti ni siku muhimu inayoadhimishwa kwa matukio tofauti duniani kote. Ingawa kila tukio lina umuhimu wake wa kipekee, yote yanashiriki lengo moja la kuhamasisha na kutoa uelewa juu ya...
2 Reactions
4 Replies
323 Views
Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏 Namna pekee...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni wazi dunia au tuseme taifa letu linakaribia kupitia DHIKI KUU mambo ya kufanya ni pamoja na; 1. Kuweka akiba ikibidi kuwa na akaunt mbili ili moja uitumie kuweka akiba 2. Kuwatengenezea...
6 Reactions
22 Replies
856 Views
Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la...
2 Reactions
7 Replies
590 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Yaleyale ya ile kampuni ya QNET Siku za hivi karibuni kampuni ya Aliance Motion Global imekuwa ikiripotiwa sana kwa kukusanya vijana kutoka...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
VIASHIRIA KUWA HUENDA SIMU YAKO IMEDUKULIWA Simu yako kufanya kazi tofauti na ulivyoitaka au ambazo hujaidhinisha kama kutuma Ujumbe, kupiga simu Uwepo wa Programu Wezeshi (Applications) ambazo...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara nchini Tanzania, Karoli Mganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178, likiwemo la kuongoza genge la...
12 Reactions
149 Replies
7K Views
Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa...
8 Reactions
10 Replies
896 Views
Yaaan unaamka na watoto kupeleka shule unakutana na pikipiki zinakimbilia kwenye lami kumbe kalizwa mtu. Leo sicheki kwa mazuri na shule iko Goba kwa ndani kidogo Nashuka niko njia ya rafu...
0 Reactions
10 Replies
531 Views
Gb 10 bure kwa wenye voda na halotel Kabla sijakuja kuendelea ngoja niwape mchongo kizuri kula na Mwenzio tigo na halotel sahivi wanatoa ofa ya Magb ya bure Unachotakiwa kufanya kama ni tigo...
30 Reactions
292 Replies
116K Views
Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Mwananchi atofa elimu kuhusu fidia kufuatia kauli ya Rais Samia kuomba Wananchi wapishe miradi na fidia zije baaa ya miradi. Amefafanua haki ya fidia kisheria na kikatiba na kukosoa kauli ya Rais...
13 Reactions
22 Replies
2K Views
UZITO Licha ya changamoto zilizowakabili, wazazi wa Chuwa walifanya kila wawezalo ili kesho ya chuwa si tu iwe kesho nzuri bali kesho yenye fursa angavu na furaha ya kudumu. Miaka kadhaa mbele...
1 Reactions
0 Replies
230 Views
Wamekuja mabinti wawil kupanga. Nikawapangisha chumba baada ya muda Wakaanza kutembea na Wanaume za watu wa vile vyumba vingine. Wake zao nao wakaanza back2sender wakaanza kutembea na vijana wa...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Back
Top Bottom