Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Muda huu nangalia kipindi ITV TANESCO wanaelezea kuhusu namba za marejesho. Na mchana nikapigiwa mzigoni umeme umekatika bahati na nunuaga LUKU nahifadhi. Nikawapa wakaweka kumbe Baba Mkubwa...
1 Reactions
1 Replies
234 Views
NZI Licha ya kuonywa na wazee,Chuwa aliziba masikio. Akaendelea kutumia fedha za mabeberu ili kuendesha kampeni zake. Baada ya kushinda uchaguzi na kuingia madarakani,mabeberu wakataka rejesho...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Naomba uongozi wa JamiiForums umualike Msemaji Mkuu wa Serikali tumuulize maswali ya moja kwa moja. Aa serikali ifungue akaunti yake rasmi humu JamiiForums ili madukuduku yetu yafike moja kwa...
4 Reactions
17 Replies
351 Views
Habari, Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Naomba hili swala liwekwe wazi, tusilete huruma kwenye ukweli, kama wewe ni mzazi ebu jitahidi kuitengeneza kesho yako usiwe msumbufu Kwa watoto huko mbele ya safari. Ipo hivi swala la mzazi...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Nukta. Licha ya kuonywa mara kadhaa, Chuwa hakuwa msikivu. Aliendelea na tabia zake, japo alifahamu kuwa tabia hizo zinamuumiza sana mkewe. Siku moja,Chuwa alifanya yake tena. Aliporudi...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Mwalimu wa shule ya kulelea watoto Tabora anatafutwa kwa kosa la kulawiti mtoto wa shule Mwalimu mkuu wa shule hioo amesikitika sana na kusema mtoto huyo alikuwa akifanywa chooon Mama wa Mtoto...
3 Reactions
13 Replies
808 Views
Ukizingatia "hype" ya mitandaoni watu wapo "aggressive"kutaka kuona wanaume waliofanya matendo ya kishetani kwa wale mabinti kutaka kuona wanawajibishwa haraka iwezekanavyo,huku mkuu wa mkoa na...
5 Reactions
10 Replies
903 Views
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda...
9 Reactions
1K Replies
52K Views
WATOTO KUTEGEANA KUTUNZA M/WAZAZI NA KUWATELEKEZA NI JANGA LINALOKUA KWA KASI NCHINI. WEWE UMEJIPANGAJE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Niliwahi andika, sio lazima (wajibu) wa mtoto kutunza...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Anonymous (2530)
Mimi ni Mkazi wa Kibaha kwa Mfipa, Kata ya Viziwa Ziwa, Kitongoji cha Sagale Kabimbini (Sauti ya Umma) Mkoani Pwani. Ninajitokeza kuandika malalamiko kwa niaba ya Wananchi wenzangu zaidi ya 340...
0 Reactions
6 Replies
821 Views
Sasa Iko hivi baada ya Idris Elba kupewa heka 800 kujenga Jumba la sanaa Zanzibar, je mtanzania bara anaweza kupewa heka 1 ajenge kaofisi kake ka kuuza kazi za sanaa hapo Zanzibar? Kama ndiyo...
4 Reactions
20 Replies
720 Views
As-salamu alaykum ndugu zangu. Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera. Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea...
109 Reactions
889 Replies
46K Views
Wakati mwingine tunaweza kupoteza njia zetu katika maisha na kujiuliza ni kuhusu nini yote hayo. Tunaweza kuzama katika hali na uhusiano ambao hayatimizi mahitaji yetu na kufanya tusihisi furaha...
5 Reactions
6 Replies
801 Views
MAANA YA KIROHO YA KUMTUMAINI MUNGU.. Sehemu ya tatu.. 3️⃣ Kumtumaini Mungu ni kuamini ahadi za Mungu kwenye maisha yako kuwa zitatimia hata kama ni kwa kuchelewa... ✔️ Maana nyingine ya...
5 Reactions
8 Replies
486 Views
Matendo Na. 4 ya 1998 7A : 19 ya 2007 131A.- (1) Pale ambapo kosa la ubakaji limetendwa na mtu mmoja au zaidi katika kundi la watu, kila mtu katika kikundi ambaye anatenda au kuunga mkono kutenda...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Habari watanzania wote. Nijikite moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kilivyo. Katika hali isiyo ya kawaida, kuna media zimeanza propaganda ambayo wao wanafikiri hatujui hesabu zao na...
12 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kanda ya Mashariki na Pwani wametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wote ambao...
1 Reactions
1 Replies
375 Views
Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu. Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama...
15 Reactions
81 Replies
2K Views
Greetings wanajukwaa. Leo nilikuwa nasikiliza Album ya Lady Jay dee inaitwa SHUKRANI nikakoshwa sana na nyimbo mbili moja namba 4 na namba 9 4. Mwanaume hana dawa - lady jay dee Na hii hapa...
6 Reactions
11 Replies
409 Views
Back
Top Bottom