Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16.
SWALI
Jee wakiristo wanaruhusiwa...
Trip to South Africa by Bus from Kenya. Yes, it's very possible to travel to South Africa by bus from Nairobi, Kenya.
You will take 3 different buses to travel from Nairobi to South Africa.
Bus...
MAGIC MUSHROOMS: UYOGA WA KICHAWI: DAWA YA KULEVYA YA KIINDOLE ILIYOANZA KUTUMIKA MIAKA 9,000 KABLA YA KRISTO
MAGIC MUSHROOMS, inayojulikana pia kama "psilocybin" au "shrooms," au UYOGA WA...
Nilichokielewa kutoka kwenye katuni ya Masoud Kipanya.
Hili eneo ni makaburini na hapo unaonekana mzimu ukiwa umeandikwa TLS, kwahiyo ni maeneo waliyozikwa watu wa TLS (Tawala zilizopita).
Mzimu...
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), umewezesha walengwa wa mfuko huo kutumia ruzuku wanayopata kushiriki kilimo, hali ambayo imekuwa ikiwaongezea kipato na kuwa na uhakika wa chakula.
Hayo...
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings...
Ikiwa POLISI watampeleka AMOSI, MAHAKAMANI, basi, NITAKWENDA KUMTETEA BURE. Watu wanataka kuona POLISI IKIWAKAMATA WABAKAJI NA WAFIRAJI. Hayo mengine ya “KUZUSHA KIFO CHA BINTI WA YOMBO”, ni...
Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM.
Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe...
Copy&paste👇umakini unahitajika sana.
Nyie mwenzenu 😭😭😭😭😭😭natamani kulia mimi yamenikuta
Mwenzenu nipo kwenye mahusiano na kaka mmoja mkoa fulani. Yeye ni mfanya biashara mkubwa tu wa mbao Malawi...
Kama mmeshindwa kuweka security kwa mawakala wenu kwenye huduma za kusitisha miamala, hii huduma iondoeni inatufilisi mawakala.
Jana mfanyakazi wangu kapigwa 50k tigo pesa, mtu ametoa hela umempa...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameeleza hali ya madeni na kukiri kuwa bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40. Madeni hayo yamegawanyika katika maeneo matatu...
Nimefikiria sana na nikapata majibu kwamba dini ni utapeli, zimeletwa kwa ajili ya kuangamiza waafrika kiakili, kitamaduni na kiuchumi.
Yaani itamuhitaji mtu ajizime data ili aamini katika hizi...
Kwanza naomba nimpongeza Raisi wetu wa Jamuhuri ya Serikali ya Tanzania, Samia kwa kuruhusu walimu walipokuwa wamesitishiwa vyeo vyao waserereke.
Ila zoezi haliendi kwa haki, Kuna watu walianza...
Huyu ni robot maarufu sana duniani, bila shaka unamfaham sababu yeye yupo kwa ajili ya kukuliwaza kingono ili akili yako itulie, uwapo naye ni unajipimia unavyotaka hakuna siku atanuna au kuingia...
Mimi ni Mwanakijiji wa Hoyoyo, kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, miaka kadhaa nyuma tulipata ugeni wa kutembelewa na Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete wakati huo JK akiwa bado yupo madarakani...
Mpk Sasa nimefuatilia vyombo vya habar ving sana sio Ayo tv, sio kitenge tv...kimya Cha kaburi! n vichache mno vimeweza kutoa taarifa hii ikiwemo Jamii forum..
Hizi taarifa n tokea Jana usiku...
Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au...
Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri...
Jaman wakuu nimenunua Remote, Ila hazi acces devices zake, kuna Remote ya Abooda Tv na kuna remote ya Azam king'amzi, ila hazi acces nikibonyeza hazfanyi.
Je, kuna code yoyote natakiwa kuweka ili...
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.