Je, Wajua unyonyeshaji ukifanyika ipasavyo, uwezekano wa Mtoto kupata Magonjwa hatari ya kuambukizwa au kuugua mara kwa mara hupungua na hivyo kupunguza Vifo vya Watoto?
Hata hivyo, tafiti...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hasan ametakiwa kuwamulika majaji wa mahakama kuu ambao baadhi yao wamekuwa na tabia ya kupindisha haki baada ya kurubuniwa kwa kupokea rushwa.
Hatua hiyo umekuja...
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imempokonya mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Philemon Mollel(Monaban) ,eneo lenye ukubwa wa ekari Saba alilowekeza kituo Cha mafuta lililopo Ngulelo ,jijini...
Mfanyabiashara maarufu jiji la Arusha Philemon Mollel (Monaban)anashikikiwa na polisi kutokana na ugomvi wa kugombea eneo lililoamuriwa na mahakama.
Monaban alilazimika kufyatua Risasi hewani...
Ukitaja kufanikiwa kibiashara jitofautishe na wenzako kwa kufanya tofauti lakini bora
Mabasi ya Sauli yalijitifautisha kwa kutopoteza muda kizembe barabarani ....TIME MANAGEMENT !!!
Solomon...
Unatembea zako ghafla unaitwa,
Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu
Mnaendelea...
My Take: Naunga mkono hoja na jambo Hilo lisiishie kwenye kada ya Afya na Elimu tuu Bali lifike na kwenye kada zingine.
Faida zake
1. Utapunguza uhaba wa Watumishi
2. Utapata Watumishi ambao...
Dar es Salaam
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire amezungumza na Wahariri na Waandishi wa vyombo vya habari Nchini...
Ikiwa leo ni siku ya August 7, 2024, kuna jambo kubwa la kitaifa linaendelea huku Dodoma, nalo ni Maonesho ya Nane-Nane.
Pamoja na wingi wa watu lakini katika hali ya kusikitisha kuna changamoto...
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata...
Haikubaliki na wala hatuwezi kukaa kimya mpaka leo bila Polisi kuueleza umma hao vijana wavuta bangi wameshakamatwa au bado?
Ushahidi upo wazi na sura zao zinaonekana, maana yake wote...
Nimeshtuka sana kuona hii video, kumbe madafu ni bidhaa unayoweza kuisindika na kuiuza ndani na nje ya nchi ikiwa fresh kabisa.
Inauwezo wa kutoa hadi ajira 10,000 kwa kiwanda kimoja, kuanzia...
Mawakala wa Utalii mkoani Kilimanjaro, wameitaka serikali kufanya uchunguzi na kutoa tamko rasmi juu ya uwepo wa Taasisi moja inayoendesha harakati za kuwachafua kwa mawakala wa Utalii Ulaya...
Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu.
Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa...
Aisee huyu Kiranga na utata wake wote na ungosha wake wote na kuishi kwake America na kusoma kwake kote na ubishi wake wote ivi kweli kashindwa kabisa kutuzibitishia kama kweli Mungu hayupo
Mimi...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni kujiuzulu kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo hivyo kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya...
Watoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa.
Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje...
Kumekuwa na tuhuma mbaya sana kuihusu LST na kwa muda mrefu.
Hii ni taasisi ya umma na yeyote afanyaye kazi pale ni dhamana tu.
Kwa mahitaji ya ufafanuzi tuhuma hizi ziliorodheshwa kwenye uzi...
Nipo naangalia Star TV hapa dira ya dunia BBC swahili.
Habari ya binti aliyebakwa imeshasambaa sasa hadi nje ya mipaka ya Tanzania.
Jeshi litoe tamko kuhusu sakata hili.
PIA SOMA
- Polisi...
Kuna vitabia japo sio wote ila ni upande wa majukumu ila vinazidi pale uchukulia kama ndio nafasi yao kujipatia pesa.
Vijitabia vyenyewe:
Kila msiba anakuwa ndio muongozaji wa kuendesha misiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.