Kiongozi wa Hizbullah Nasrallah:
Kusubiri wiki moja kwa Israeli shambulio la Iran ni sehemu ya adhabu
Israeli hana ubabe tena ni mwoga na hajui atafanya nini endapo US ataacha kumpa msaada
[emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
MTI WA MBAAZI UNAVYOTUMIKA KWENYE UCHAWI NA TIBA YA MARADHI YA MWANADAMU
[emoji2788]MBAAZI- Huu ni mti maarufu sana kwa watu wengi na...
Binafsi baada ya kuona mnajinadi nikajua mkombozi amepatikana dah!
Kumbe zilikuwa mbwembwe tu, Sasa yapata mwezi na kitu baada ya kufanya mchakato wa kuwakopa na nilikamilisha vigezo vyoote na...
https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro
Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa...
Machi 22, 2024 Kutoka Mji mdogo wa Omurushaka katika Uzinduzi wa Makumbusho ya Banyambo inayoitwa KARAGWE HERITAGE MUSEUM, uzinduzi ulienda sambamba na uzinduzi wa Kitabu cha KARAGWE, HISTORIA...
Nimelipa Elfu 2 kwenye N-CARD nimwekewa 1900Tsh eti kuna makato ya Tsh 100. Hii inatokea kwa wengine imekubalika pale ferry.
N-Card ni platform ya malipo ya serikali kwa faida ya serikali...
Kwenye haya maisha jifunze kutembea kwa mwendo wako mbaya sana ku force maisha ambayo sio ya kiwango chako.
Wengi waliolazimisha mambo waliishia kuwa mapunda wa madawa ya kulevya, kuuza utu wao...
Hawa ni Watanzania wanaidai Kampuni ya Insurance Group of Tanzania, wiki iliyopita walitumia siku tatu kushinda na kulala katika ofisi za kampuni hiyo kutaka kulipwa madai yao wanayodai ofisi hiyo...
Waandamanaji mjini Bangladesh wavamia na kuiba vitu katika nyumba ya aliyekua waziri mkuu na kujiuzulu Sheikh Hasina aliyekimbia nchi kwenda kutafuta hifadhi india, Sheikh Hasina alijiuzulu nafasi...
Gen Z ni vijana waliozaliwa MIAKA ya 2000 mpaka 24. Kizazi hiki kina maisha na purukushani nyingi za kisiasa , kiuchumi, na kijamiii . Kwa nchi kama Tanzania Ili Hawa vijana watulie ni lazima...
Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range
New Government Salary Scales: Approved
TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/-
TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 =...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani vikali kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichooneshwa kwenye video inayosambaa mitandaoni, ikimuonesha mwanamke akifanyiwa vitendo...
Habari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya...
Habari wana jamvi kuna mdau anauliza yeye ni mfanyakazi katika wizara moja hapa nchini na ndio kwanza ana miezi nane kazini sasa ameona tangazo la Ajira sekretarieti ya Ajira katika taasisi moja...
Katika vitu vya kushangaza ni hili la msanii harmonize kutaja matusi kwa makusudi tena kwa kurudiarudia bila ya kujali uwepo wa viongozi wa nchi siku ile ya yanga day.
Nilitegemea...
Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Kurt Campbell hivi karibuni alitoa wito kwa nchi hiyo kujizatiti katika kukabiliana na China katika nchi za Kusini, akidai kuwa ushawishi wa Marekani...
GENEVA: Shirika la Afya Duniani (WHO), limetoa tahadhari ya kuwepo kwa ongezeko la Maambukizi ya Virusi vya #COVID19 duniani huku utoaji Chanjo ukipungua.
Taarifa ya WHO imesema "Takwimu za mfumo...
Mi mtu Mzima Kidogo ambaye nimeishi miongo kadhaa na kushuhudia uongozi wa awamu zote na nimekaa vijijini na mijini
Kwanini Kila mtaa au kijiji au mji mtu akionekana kupata maendeleo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.