Nimepitia mengi katika maisha. Pamoja na juhudi kubwa za kusoma na kuwa na akili nyingi, bado naishi maisha magumu na yenye kudharaulika.
Nina familia na watoto, lakini nahisi kama mke wangu...
Kwanza ndugu Kadogosa na ofisi yako ya Tanzania Railways Corp hadi hapo hongereni kwa hatua hiyo japo no kwa kuchelewa sana.
Nimepitia ratiba yenu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma
Prof. Makubi anachukua nafasi ya Dkt. Alphonce B. Chandika ambaye amemaliza...
Hata retention fee tu bodi ya mikopo hakuiondo imekuja kuondolewa na Samia.
Zaidi sana aliongeza makato kutoka asilimi 5 mpaka asilimia 15.
Ajira hakuzipa kipaumbele kabisa zaidi sana hata...
Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki amesema kuanzia jana kuna ujumbe mfupi wa video uliozunguka katika mitandao ya kijamii uliorekodiwa na Raia wa Uingereza mwenye asili ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia Kiwanda cha Kusindika Tumbaku na Kuzalisha Sigara cha Serengeti kitaweka Tozo katika mauzo yake ili Fedha inayopatikana isaidie katika huduma za Afya...
Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya...
Tanzania kupitia Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam- (DIT) ikishirikiana na wadau mbalimbali wapo katika mchakato wa maandalizi ya kutengeneza na kurusha Setelaiti angani.
Akizungumzia mchakato...
Nimeona moja ya sababu ya kumwondoa Kiboko ya Wachawi ni wizi utapeli kumwona 500000
Nimeona pia mtudaiidie kuna dini zingine wanaanzisha matamasha tena kila mkoaaa na ule wenye hela nzuri...
Sijajua kwa nini Jeshi la Polisi limechelewa hivi kutoa taarifa kwenye tukio la kinyama lililofanywa na Watanzania wanaume wanne dhidi ya mdada mdogo wa Kitanzania.
Ukisikiliza ile video anaongea...
ASIJE AKAKUDANGANYA MTU AU UKAJIDANGANYA, FAMILIA NDÎO JAMBO NAMBA MOJA.
Na, Robert Heriel
Mtibeli
Najua kûna Watu husema na kuniambia "kîla Siku Unazungumzia mambo ya mahusiano na familia...
Wasalam Ndugu jamaa na marafiki.
Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.
Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio...
Najua inaweza kuwa kama kichekesho lakini najua sehemu nyingi za Tanzania hasa mikoa ya kusini nyama ya panya ni kitoweo kituzi tu.
Kwa yeyote anayeweza kunipatia kunipatia uhakika wa kuleta...
RITA Korogwe kuna shida kupata cheti cha kuzaliwa ulichoomba online na kuwa approved na kuthibitishwa kipo tayari, kukipata utazungushwa nenda rudi bila kujali unatoka mbali tena vijijini na...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani vikali kitendo cha kikatili cha unyanyasaji wa kijinsia kilichoripotiwa kumuhusu msichana mmoja kutoka Dar es Salaam,wilaya ya Temeke, Kata ya...
Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia...
Afisa wa jeshi, kama mtu mwingine yeyote mwenye mamlaka, anaweza kutumia vibaya mamlaka yake au mamlaka yake juu ya raia. Matumizi mabaya kama hayo yanaweza kuchukua aina mbalimbali, ikiwa ni...
Habari wakubwa zangu wa kazi,
Nimekuwa nikijiuliza muda sasa,hivi kwanini hakuna chanjo ya virusi visababishavyo UKIMWI?
Wataalam wamekuwa wakitengeneza chanjo za magonjwa kadhaa ambapo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.