Shalom wapendwa,
Leo nimekumbuka kisa hiki, kilichonitokea mwenyewe nikiwa katika harakati Mkoa wa Njombe. Narudia tena hii sio stori ya kufikirika imenitokea mwenyewe.
Uchawi hauna faida yoyote...
Leo Mjanja M1 nimetafakari sana juu ya hili suala,
Kumekuwa na watu wanarekebisha mpangilio wa meno yao kwa surgery hawalalamikiwi, lakini wanaobadilisha Maumbile eg. Wanawake Wowowo wanasakamwa...
Watanzania sisi washamba hilo nimeligundua nilivyopanda usafiri wa Treni ya SGR. Tulivyoruhusiwa kutoka ndani station kwenda kupanda mabehewa ya treni kila mtu alitoa simu akaanza kujipiga ma...
KIBOKO YA WACHAWI KUNA UJUMBE WAKO KUTOKA KWA MASHEMEJI ZAKO.
Anaandika Samwel Lwiza "Shemeji
Tumelisikia ombi lako lakini kwa sasa tunaomba utuvumilie kwasababu sisi kama mashemeji zako...
Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, changamoto kubwa iliyopelekea kuchelewa kukamilika kwa mradi wa...
Mtanzania mmoja aliyeolewa huko kaskazini mwa nchi ya Ireland amerikodi videonakieleza jinsi mumewe mzungu na polisi nchini humo wanavopanga kumuua. Katika video hiyo ameeleza jinsi anavopitia...
Familia ya Said Salim Bakhresa
Said Salimu Awadh Bakhresa ni mfanyabiashara mwenye mafanikio na uzoefu wa zaidi ya miaka 30 wa kusimamia kundi la kampuni za biashara. Yeye ni mwasisi na...
Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Wakulima,Wafugaji pamoja na Wavuvi kutumia Pembejeo zenye wakati alipotembelea Mabanda mbalimbali kwenye...
Kwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu, miongoni mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama...
Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi?
Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke...
Vitu vingine vinatia aibu, maana vinareflect IQ vya yule anaevifanya, je, ndio tuseme watunga sera wa TRA wana IQ ndogo?
Kodi ya majengo kwa nyumba ya chini ni shs.10,000/= tu, lakini gharama ya...
Naitwa Mturutumbi, na leo nataka kuchambua athari za kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii miongoni mwa vijana wa kisasa. Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya vijana...
Virusi ni programu ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuharibu programu nyingine zinazokuwepo kwenye mfumo wa utendaji wa kompyuta au simu.
Virusi vya kompyuta vinaweza kufuta, au kuharibu...
Katika Quran, hukumu ya wazinifu (wale wanaofanya uzinzi) imeelezwa katika sehemu kadhaa. Aya inayozungumzia moja kwa moja adhabu ya wazinifu ni katika Surah An-Nur (24:2):
"Mzinifu mwanamume na...
Taasisi za Umma kama NACTVET Wamekuwa na tabia ya kupandisha bei za huduma bila sababu na hawatoi taarifa hivi karibuni.
NACTE wamepandisha huduma ya ACADEMIC TRANSCRIPT kutoka elfu 15 kwa...
Ujue mtu ukiendekeza sana maisha ya kazi unaweza ukachizika japo ndo maisha yanayotuweka mjini hapa.
Kwa jinsi nilvyochoka na haya maisha jana nilihisi hiki kichwa kama sio changu nilihisi kama...
Kuna baadhi ya mambo ya kiutendaji tu hayana gharama kabisa lakini yamegeuzwa kama utamaduni na sheria!
Nitatoa mifano michache inayotugharimu na inaonekana ni sawa tu.
Mfano 1.! Kuna umhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.