1.0 Kuanzia Mahakama za chini hadi Mahakama Kuu suala la Hakimu au Jaji kuharibu kesi kwa manufaa yake ni la kawaida tu. HAWAJALI.
Wanajificha kwenye mstari wa mwisho wa hukumu zao unaosema...
Viongozi kadhaa wa Kitaifa wakishiriki kuhani Msiba wa Mama yake Halima Mdee, Tunaishukuri serikali kwa kujitokeza kushiriki kuwafariji Wafiwa.
Gerson Msigwa
Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wawekezaji uwepo wa umeme wa uhakika katika Wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga na hivyo amewaalika kwenda...
Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya.
ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala...
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali itahahakisha inasimamia Utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya barabara na madaraja iliyopo katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025...
Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha...
Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo.
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa...
Hivi inawezekanaje muajiri amekwisha peleka mishango NSSF alafu ukienda kuangalia salio ukakuta kuna michango kadhaa imechomolewa wakati kabla ilikua inasoma. Hii kitu imewatokea wanachama kadhaa...
Tokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania.
Nini kifanyike?
Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za...
Kijana anarudi nyumbani kahitimu chuo kwenye taaluma kama ufamasia, uhasibu, uhandisi, IT, sheria, Procurement, n.k.
Kama tujuavyo mfumo wetu wa elimu, huwajenga wahitimu wengi kusubiria ajira...
Upendo Tv Kipindi cha Twende Yeriko waliwahi kutoa ushuhuda wa bwana mmoja aliyekuwa anampeleka Mtoto mdogo kwa Mganga Ili amtoe Kafara kwa ajili ya kuongeza mtaji
Mama wa Mtoto aliachwa nyumbani...
Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.
Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli...
Umenisikia na huo ndio ukweli, kuna siku nikipata nafasi nitachambua the current paradigm shift ya focus ya elimu yetu kuanzia kindergarten to Universities madhara yake tunayayaona leo na...
Kampuni hii ilitangazwa kwa mbwembwe nyingi sana bungeni na kwenye media wa kwanza kuisfia kampuni hii alikuwa Musukuma, wakafuata Maulid Kitenge na wenzake pamoja na Prof. Makame Mbarawa
Sasa...
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao
Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.