Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari za asubuhi ndugu huwa nasikia wanajeshi wa UN wanakwenda mission mfano labda congo au sudan kulinda amani kwamba aao hawahusiki na vita ila kazi yao ni kulinda amani sasa nataka nijue kwa...
0 Reactions
3 Replies
191 Views
Leo August 3 2024 ni siku ya makomwe dunia as wazungu wanaita big forehead day. Mtagi mwana JF mwenye komwe
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao...
0 Reactions
4 Replies
228 Views
Shirika la Maendeleo la Taifa la Tanzania (NDC) limesaini mkataba wa dola za Marekani milioni 77 na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania ili kuwezesha uchimbaji wa madini ya chuma...
1 Reactions
6 Replies
505 Views
Hili limekuwa ni tatizo sugu kwa kuwa watu hawataki kuwa mashahidi wa kitu walichokishuhudia. Shahidi ndiye anayesababisha kesi iweze kumalizika kwa haraka. Lakini watu wanaogopa. Lakini baada...
1 Reactions
26 Replies
647 Views
Nyie Azam TV shida yenu ni nini? mbona Channel zote za sports hazioneshi? Toka tarehe 01 August mlivyosema kuwa mnaboresha muonekano na kuongeza channel sports4 hamuonekani hadi leo hii.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu, najua habar hii sio mahali pake hapa, kwakuwa wadau wengi hupita hapa basi mod acha itambe hapa, Pili Yahya Mohamed ni mdau mkuu hapa na wengi wanamkubar sina budi kusema...
2 Reactions
95 Replies
22K Views
KARMA - kuhusu karma hiii inafanya kazi kwa 100% jinsi unavyowaombea WATU mema hayo mema na wewe lazima uyapate Unaposaidia watu in positive way lazima na wewe uneemeke ikiwa sio wewe watoto...
5 Reactions
1 Replies
487 Views
Mnakumbuka Iran ilivyojaribu kuishambulia Israel kwa makombola ya ndege za drone zaidi ya 300 ambapo karibu 99% yalizuiliwa na kuharibiwa angani isipokuwa machache sana yalitua na kusababisha...
4 Reactions
12 Replies
713 Views
Anonymous (ea7f)
Kuna mgogoro wa ardhi, mtaa wa Majengo mapya - jeshini, kitongoji cha Itumbi, kata ya matundasi, wilayani Chunya. Mwenyekiti wa kitongoji anaamrisha wakazi wa eneo hilo kuhama eneo hilo ifikapo...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
1 Reactions
2 Replies
644 Views
Anonymous (af94)
Hii kitu inanikera sana na inaniacha na maswali mengi. Hii hasa ipo kwa magari ya Kawe pale karibu na kituo cha Jeshini, na njia ya kwenda Makumbusho kutokea Kinondoni Studio karibu na kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Mimi ni mtumishi wa umma mwandamizi lakini jambo hili limenipita pembeni na nahisi nimeingia kwenye tatizo kuubwa. Niliomba mkopo bank kwa kutumia mfumo wa utumishi. Kabla mfumo haujapitisha...
1 Reactions
50 Replies
1K Views
Hawa ni waislam, kwa hapa kwetu husafiri umbali wa kilometa elf 6 kwenda huko Saudia kuupiga mawe mnara wakiamini ni shekhtani Wakristo nao madhehebu ya walokole wanapangwa na mchungaji wao...
1 Reactions
18 Replies
437 Views
Sera za ubepari zinazungumziwa sana sababu ya wivu wa watu wanaochukia sera hizo kutoka marekani.ila sera za ujamaa zinatisha sana zilipotokea urusi. nchi nyingi zilizopitia sera za ujamaa...
0 Reactions
6 Replies
191 Views
Naomba kupendekeza nauli ya mwendokasi iwe elf moja Leo nimepanda mwendokasi mara 4 na hawakuwa na chenji Sijui ni stlye au ni kitu gani, vituo almost vitatu hawana 250 Ni Jambo la Aibu Sana...
3 Reactions
32 Replies
735 Views
Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi. Nimemaliza
15 Reactions
59 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa uchambuzi niliofanya kutumia taarifa za kikodi kutoka TRA(Tax Revenues Collections) Mwaka wa Fedha 2022/2023.,Nimebaini Mikoa 15 inayotoa Kodi nyingi zaidi kuchangia gurudumu la...
6 Reactions
120 Replies
15K Views
Nimekutana na hii taarifa ya Mfanyabiashara na Mwekezaji Max Maxwell ambaye ni raia wa nchi lakini kilichonishangaza zaidi ni kusema amenunua ardhi nchini Tanzania kwaajili ya kufanya uwekezaji...
1 Reactions
0 Replies
601 Views
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Wiizara ya Nishati kupitia TANESCO kujenga vituo 75 vya kupokea, kupoza...
1 Reactions
2 Replies
238 Views
Back
Top Bottom