Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika...
Habari wakuu,
Kwa wanafanya malipo ya serikali watakubaliana nami kuwa, mfumo wa kulipia na kuhakiki malipo wa serikali " government e payment gateway" (GEPG), haufanyi kazi vizuri kwa takriban...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki .
Hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi Kahama.
Tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa...
Habari za jioni wakuu.
Kuna video inatrend huko kwa groups kuhusu watu wa Kigoma kutojua matumizi ya double road.
Mimi kwa jinsi nilivyotembea niona hata Arusha hii njia ya Arusha - Moshi...
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.
lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo...
Hii bank kuna walimu wanaipigia kelele kwamba wanakata deductions kabisa za makato ya mkopo ambao hawajautoa kabisa na wakipigiwa simu wanajibu kirahisi shida mfumo. Sasa kama shida ni mfumo mbona...
Leo nimeambiwa eti 'baada ya kumaliza chuo wahitimu wote wanapaswa ku-verify vyeti vyao kwa mwana sheria na vipigwe muhuri ndipo vitumike.'
Binafsi, naona hili suala sijalielewa.
Kwanini...
Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani...
Tupo safarini tunatoka Mbeya tunakaribia kuingia Mikumi tumesimamishwa kwasababu Rais anatoka Ifakara na bado hajatoka huko Ifakara.
Viongozi wa Afrika mnatesa watu wenu.
Kwa sasa treni inasafiri kati ya Dar na Moro. Ni vizuri wahusika wakafanyia kazi baadhi ya mambo kabla usafiri haujatanuka kufikia maeneo mengine. Baadhi ya changamoto ni hizi hapa.
Kwenye...
Kutokana na ushabiki wa Mchezo wa Mpira kukua kwa kasi ni muhimu sana wakumbuke pia kufanya mikoani ili kuwapa raha mashabiki.
Ningeshauri hata matamasha hayo yakafanyika kikanda na kuwa na...
Wasalaam Wakuu, Nimeona hiki kisa kilichoandikwa kwenye Agano la kale, Nimeamua kushare nanyi hapa ili mmpate kuelewa kwamba Chuki na Wivu vilikuwepo tangu zamani. Hapa katika kisa hiki tunaona...
Mnamo tarehe 2022-08-04 2022-08-17 ,WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI walitangaza nafasi hizo 17 kupitia PSRS Watanzania wenye sifa stahiki waombe ili mwisho wakifaulu...
1) MARUFUKU KUTAFUNA BABLISH/BIG-G UWAPO SINGAPORE
Singapore ilipiga marufuku vitu vyote vinavyofanana na big-g mwaka 1992. Yeyote atakayeingiza bidhaa hii kutoka nje ya nchi, atakayeuza au...
Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokuwa naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama...
Habari Wanajukwaa!
Dunia ina watu takribani bilioni 7 huku wakiwa wamegawanyika kwenye mabara saba; Asia, Afrika, America ya Kaskazini, America ya Kusini, Antarctica, Ulaya, pamoja na Australia...
Mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu Halima Mdee, Bi.Theresa Mdee amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma
Taarifa hiyo imetolewa na Mbunge Ester Bulaya ambaye amethibitisha...
habari za ujenzi wa taifa?
Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo...
Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.