WAKULIMA nchini wameshauriwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na taasisi za kilimo pamoja na kibenki zinazolenga kuwawezesha kukuza mnyororo wa thamani katika sekta na hatimae kuchangia...
Kumekuwa na vituo vingi vyenye askari barabara ya Kigamboni-Mkuranga na kila kituo askari wanadai kupatiwa shilingi elfu mbili. Mpaka siku inaisha tunakua tumepoteza kiwango kikubwa tu cha pesa...
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeweka utaratibu wa kutoa "Death Grant" kwa warithi wa wastaafu waliofariki. Kulingana na sheria iliyopo, malipo haya yanatolewa kwa mke/mume wa marehemu...
Umaskini ni laana, umaskini ni aibu, umaskini ni kilio, umasikini ni manyanyasiko, hakuna furaha yoyote unayopata kwa kua maskini.
Nimeshashuhudia maskini akikata roho kwenye korido za hospitali...
Nimefuatilia ziara ya Mh Rais Samia katika mkoa wa morogoro kwa umakini hii ziara imefana na hii ni kutokana na hulka ya rais samia kutokuwa mtu wa makeke na kuharas watumishi wa uma ambao kwa...
Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Wakuu, Nimetembelea stores kadhaa za Airtel ku acces huduma ya esim bila mafanikio yoyote yale, Inashangaza hata Matawi makubwa kama Mlimani City nako hakuna huduma ya esim kabisa Airtel Tanzania
WAKATI nakua na kupata fahamu za kujua kuwapo kwa Mungu, ipo siku wazazi wangu waliniamsha alfajiri na kunivisha nguo ambazo sikuwahi kuzivaa, zilikuwa mpya; shati na kaptura, tofauti na zamani...
Katika kuhakikisha ulinzi na Elimu vinatolewa Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali yawatumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo kimetoa elimu...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Wizara ya Madini imekubaliana na Ofisi ya Rais TAMISEMI kukutana na kutatua changamoto ya tozo zinazowekwa na Halmashauri kwa wachimbaji wa madini nchini...
Wakuu habari za asubuhi,
Naomba msaada kidogo, kuhusu presure pump sound. Je, kuna mtaalam anaweza kunisaidi akanipa ujanja wa kuondoa kelele za pressure pump?
Dah hasa usiku hulali vizuri...
Ndugu wadau. JamiiForums ni sehemu nziri ya Kupata elimu- Tuangalie misuko suko waliopitia ndugu zetu wa dini ya kikiristo.
Vita vya madhehebu ya Kikristo vinahusisha migogoro na mapambano kati...
Kero moja wapo inayo wakumba watu wenye ulemavu wa kutosikia yani viziwi katika ofisi za Umma au atawatu binafsi ni ubaguzi wa kutoelewana.
Unakuta kiziwi anahitaji huduma ila wahudumu...
Kuna vitu vingi vidogo ambavyo tumekuwa tukiviona kwenye bidhaa ambazo tunazitumia kila siku na tunashindwa kuelewa umuhimu wa kuwepo kwa hivo vitu either kwa sababu tumekuwa tukivipuuza au...
Habari zenu wadau wenye akili nyingi.
Hata msipoitikia me nazama kwenye swali moja kwa moja.
Ni hivi kwann mkoa wa pwani wenye wilaya kadhaa kama Kisarawe, Mkuranga, Bagamoyo,kibaha na rufiji...
Wakazi wa Wilaya ya Kahama kata ya Majengo, ni wiki ya pili sasa kaya zaidi ya 400 hazina huduma ya maji kutokana na mgomo wa wafanyakazi, wakidai malimbikizo ya mishahara kwa mkandarasi...
Habari zenu wanajukwaa,nna mpango wa kwenda Mauritius kusaka life, naomba wenyeji wa huko mnipe habari mbali mbali zinazohusiana na nchi hiyo hasa katika masuala ya uchumi- ajira na biashara na...
Mambo vipi Wana jamii?
Iko hivi kutokana na ubishani unaoendelea juu ya usalama wa raia na mali zake jeshi la polisi limeweza kuonesha uzaifu mkubwa sana wa kulinda raia na mali zao hivyo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.