Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna Vijana baadhi ambao wamekuwa wakinifata pm Kwa kuniomba angalau niwape kazi au Vibarua kama vinapatikana! Ndugu zangu, kwanza nawashukuru Kwa...
8 Reactions
26 Replies
928 Views
Naomba leo niwarudishe nyuma kidogo tulikotoka hadi leo nimepata Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika. Nawakumbusha tu kwamba December 2017, kitabu cha Ujasusi kikiwa na mwaka mmoja hivi tangu...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
DSM, 3 Julai, 2024. _________________ Mhe. Doto Mashaka Biteko (Mb), Naibu Waziri Mkuu wa JMT🇹🇿 na Waziri wa Nishati, amezindua kitabu cha "Mmomonyoko wa Maadili, Nani alaumiwe" kilichoandikwa...
6 Reactions
20 Replies
983 Views
Nawasalimu Salam ya wakati huu. Kiukweli kabisa Mimi hili suala mpaka kesho sijawahi kulielewa, Kama tunaambiwa kwamba dhambi zetu yesu alizimaliza msalabani sasa kwanini watu wanalia na kusaga...
17 Reactions
114 Replies
3K Views
Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu...
6 Reactions
57 Replies
983 Views
Wasalaam wakuu. Carl Jung alizama kwenye bahari ya psychedelics na kuandika vitabu vingi vilivyobadilisha maisha ya mamilion ya watu. Kwa upana pia ninataka kubadilisha maisha yangu kwa kuua Ego...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Anonymous (3ee0)
Nasikitika sana
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Hello members good morning everyone Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here Man it hurt my feelings that no one will notice when I...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Hivi ndivyo TANESCO wanavyotoa ajira kwa Upendeleo na kujiana. Hili ni shirika la Umma lakini linatoa mianya ya Upendeleo wakayi wa recruitment. Jambo hili husabisha vijana wenye sifa kukosa kazi...
0 Reactions
4 Replies
546 Views
Anonymous (85ea)
UTANGULIZI Mtaa wa Majengo mapya_Jeshini, unapatikana Mkoani Mbeya, wilaya ya Chunya, kata ya Matundasi, kitongoji cha Itumbi. HISTORIA YA ENEO Hili ni eneo ni mojawapo nchini ambalo...
2 Reactions
1 Replies
341 Views
Hili Tangazo linasikitisha sana kwa sisi wenye watoto. Linasema "Nani anaijua kesho yake, leo upo kesho haupo. Leo mzima kesho sio Mzima. Nani atasomesha watoto wako" Katika kitu ambacho viumbe...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
Na kingine GENTAMYCINE najijua nina Nyota Kali hivyo Michawi inanisaka kwa Udi na Uvumba na ndiyo maana huwa sitoi hovyo Mkono wangu. Kama tu Viganja vyangu vyote vina ALAMA ya BAHATI, ULINZI na...
3 Reactions
4 Replies
548 Views
Kama ni mteja wa NMB kwasasa utaona deni la tsh 3999 limewekwa kwa ajili ya Mastercard sijui nini nini huko.. Haiwezakn ukatwe makato ya kila mwezi, Makato ya kutoa pesa, Gharama za uendeshaji...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Leo ni siku ya taa za barabarani ambayo taa ya barabarani ya kwanza iliwekwa tarehe 5 August 1914 huko cleveland ohio USA, system ilitengenezwa na bwana Lester Wire na leo ndo inatimiza mia tangu...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Nimetafakari kwa muda na kupitia baadhi ya kanuni na taratibu za kusajili taasisi za Kidini. Sheria ipo wazi Kanisa linasajiliwa si na mtu mmoja bali ni Watu wasiopungu 12 kwa ngazi za Kiongozi...
0 Reactions
18 Replies
554 Views
Ni kijana wa miaka 17 Axel Muganwa Rudakubana aliyezaliwa Uingereza na wazazi wa kinyarwanda wakimbizi. Kijana huyo aliyesababisha vifo vya watoto wakike watatu na kuacha wengine 10 wakipigania...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Wapendwa, Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo...
17 Reactions
82 Replies
3K Views
Mahakama Kuu nchini India imetengua Sheria ya ubakaji ndani ya ndoa (marital rape act) ambayo mke katika ndoa aliweza kumshitaki mumewe mahakamani kwa kosa la ubakaji (kumuingilia bila na ridhaa...
0 Reactions
10 Replies
653 Views
Bwana Yesu asifiwe kwa wajuzi na wasomi wa Mambo ya Rohoni kama kichwa cha habari kinavyo uliza. Je kosa la simoni mkirene (Simone of cyrene) ni lipi haswa au alibeba msalaba ule kwa kupenda tu...
4 Reactions
25 Replies
860 Views
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti...
11 Reactions
38 Replies
930 Views
Back
Top Bottom