Kwa wale ambao mlikuwa hamjui basi hiyo ndio taarifa kamili.
Pamoja na sifa za watu wa Kagera na Serikali kuweka Nguvu kubwa Dodoma ila Bado haijasaidia kuitoa Mikoa hiyo kuwa kwenye orodha ya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ni marufuku Mwanafunzi yeyote kufukuzwa kwenye shule za umma, kurudishwa nyumbani kwa sababu mzazi ameshindwa kuchangia mchango...
Nimekuwa nashindwa kuielewa serikali yangu kama kuna field ambayo ni muhimu kuitilia mkazo basi ni field ya uwekezaji.
Kwa kulitambua ilo ndo maana waliamua kuitenga wizara ya fedha na mipango...
Habari zenu wakuu!
Kuna uzi nilileta humu (jukwaa la afya) kuelezea namna mke wangu anavyopambania uhai wake kwa ugonjwa wa saratani ya matiti.
Kwakweli matumaini ya mke wangu yanazidi kufifia...
Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class.
Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama...
Takwimu za Hali ya Uhalifu nchini Tanzania zimeonesha kati ya Januari 2023 hadi Desemba 2023 kulikuwa na Matukio 3,778,908 ya Jinai na Usalama Barabarani yaliyoripotiwa katika Vituo vya Polisi...
Kufuatia mauaji ya watoto watatu nchini UK kwa kuchomwa visu mchana kweupe mjini Liverpool
Kijana Axel Rakubana aliyezaliwa na kukulia Wales nchini Uingereza atajwa kama muhusika mkuu
---
A...
Kama ukipata nafasi kutembelea wodi za wazazi pale Meta Mbeya utakuta kuna baridi kali katika wodi za wazazi.
Lakin jambo la kushangaza ukienda kwenye vyumba vya manesi unakuta kuna heater za...
Kijiji cha Nyansato, kipo katikati ya Tanzania, ni kijiji kinachojulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, lakini ndani yake kuna hadithi ya huzuni na mateso. Hii ni hadithi ya kijana aitwaye Daudi...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nawalaumu sana wazazi wangu na Mimi mwenyewe kutozaliwa/kuzaa nje ya Tanzania!
Sababu ya kwanza ni kwamba,hivi mzee wangu kweli alishindwa kupiga Swaga...
Wakuu,
https://www.youtube.com/live/xowt9FmWrvQ?si=db2lZWYu079tIJb7
UPDATE: Mwabukusi ashinda Urais TLS kwa kura 1274
Jumla ya kura: 2218
Kura zilizoharikika: 3
1. Boniface Mwabukusi - 1274...
Tunakumbushana tu, ndivo ilivokuwa.
Shule private maarufu enzi zetu kulikuwa Jitegemee, Vituka na sait Antony Mbagala
huku tarime kulikuwa na Shirati sec school.
Je wewe unakumbuka lipi? Gen Z...
Kwa uelewa wangu, ni kweli kabisa ukihisi kutotendewa haki unaenda ngazi nyingine kutafuta haki. Lakini Cha mhimu ni kuangalia mazingira.
Pia kuangalia kama...
Kila siku tunalia kuhusu kuadikika Kwa Dola licha ya juhudi za kukuza Uchumi lakini hakuna ambae anajadili jambo Hilo Kwa kuangalia sababu za msingi.
Mojawapo ya vitu vinavyosababisha kuadikika...
JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili...
Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali iweke ukomo wa Vijana wa kiume kuoa na Vijana wa kike kuolewa ambapo ameshauri umri wa Vijana kuingia kwenye ndoa usizidi miaka 35...
Baadhi ya wanawake waliopata huduma ya kujifungua kwenye Zahanati ya Isevya iliyopo Manispaa ya Tabora wameiomba Serikali kujenga uzio mrefu kuzunguka zahanati hiyo ili kukomesha watu wasio na...
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na...
Salaam, Shalom!!
Kuna kiongozi mmoja amejiinua, Afrika mashariki, ameota mapembe, sasa anadhani anaweza kuingia Kanisani na kupanga Utaratibu juu ya jinsi Gani watu waabudu, Ni kama tu Mfalme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.