Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo.
Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada...
Hii ni Post ya kuomba UELEWA. Kuna Mahali nilikua nimekaa na Wadau zikaanza story hapa na pale, Kuna jamaa akasema Polisi hasa wa rank ndogo na hawa akina kajamba nani HAWANA ajira za kudumu Hadi...
Prof.Janabi amesema umri huo wanawake wengi Huwa heshima inakata na kuacha kutoka Kwa sababu hormone ya testorine inakuwa imeisha hivyo huwapelekea kuwa na kisirani na wanaume pasikujua husema...
Hoja 3 zilizowekwa kwenye barua ya kufungwa kwa Huduma ya Kiboko ya Wachawi ni hoja mfu.
Binafsi nachukia na kupata hasira ninapoona mtu anafanya kazi ya Kristo kwa kuwalipisha watu Senti...
Fredick Sumaye aliyekuwa waziri mkuu wa Mkapa aliwahi kusema. Ukitaka mambo yako yanyooke jiunge na CCM. Je, kiboko ya wachawi hakuzingatia huu ushauri?
Pamoja na sababu zote zitakazosemwa ku...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika...
Wadau ni balaa sasa,
Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida.
Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi...
Nilimchukia magu pia nilimpenda kwa mazuri yake pia, kwa sasa mkoa nilipo zaidi naona wakirekebisha zile mbovu tu Ila mpya zinazoanza kujengwa Hanna lakini kipindi cha nyuma ukikatiza kilometer...
Hii hali sio maramoja imekuwa ikinitokea Mara kadha ya kusahau vitu sasa leo nikaenda mgahawani kula baada ya kumaliza kula nikarudi zangu ofisini na mguu.
Baada ya kufika ofisini ndo nagundua...
(....Usipite bila Kusoma......)
1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini.
2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu...
Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.
Nimetembea mikoa karibu yote...
Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani...
Majority ya walimu kazi yao haina madili,no connections no gape ya upigaji pesa ni wao chaki, Na mshahara wao kiduchu. Maisha ya kuridhika na kidogo chao ndo furaha yao hawakat tamaa wanapiga...
Habari wakuu?
Iko hivi kwa ufupi, Mimi sio muandishi mzuri Kuna saloon napenda kunyoa pande flani za Sakina Arusha(nimetaja jina Ili kama kuna Wana JF walioona wajazie nyama)
Pale saloon tulikua...
Naomba tujadili UBABAISHAJI wa NSSF.
Mtu umefanya kazi alafu unalazimishwa kuwekewa akiba. Siku mkataba wa azi ukiisha, tunaandika barua ya maombi ya pesa zako zilizopo kwenye mfuko wa NSSF.
Hao...
YAH. KUIUA NA KUIFUTA KATIKA KAZI ZANGU KAMPUNI YANGU YA MUSICPRESS
Nimefuta(edit) na kuondoa kabisa logo na jina MUSICPRESS katika Nyimbo zangu zote audio na video na pia nimefuta na kuondoa...
Huwa naona michezo ya mpira wa miguu ya timu za wanawake na ngumi inayohusisha wanawake kama haina mvuto mkubwa sana kwa watu wengi.
Hili suala lisichukuliwe kama ni ubaguzi wa kijinsia kwa...
Wakuu,
Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola.
Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo?
Unaambiwa mpaka polisi wa...
Wakili wa Kujitegemea Maria amefariki ghafla akiwa ukumbi wa mikutano huko Dodoma kwenye vikao vya mawakili.
Inasemekana ni shambulio la moyo, heart attack lililoshahihishwa na presha ya kushuka...
Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya Magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.