Mimi ni mwanachama wa NSSF ninayehitaji kujiunga na NSSF APP tatizo namba zangu wanasema hazihusiani na kadi je nifanyaje?
Kingine naweza fanya kazi nje ya nchi na kuweza kuendelea kuchangia?
Habari wakuu,
Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda...
Jana dakika zangu za wiki zilikuwa ndo zinaishia meseji ikaingia kwamba kifurushi kitajinunua chenyewe wakati sio makubaliano yetu tabia ya hovyo. nitawapeleka mahakamani
Kwema Wakuu!
Nimetulia zangu na-enjoy zangu, Kwa Raha zangu naburudika na Mashindano ya Olimpiki Paris 2024 yanayofanyika huko Ufaransa.
Nafurahi zangu lakini ghafla nagundua kuna Jambo halipo...
Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.
Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.
Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO...
Taarifa za uhakika ni kwamba Kakimbia nchini baada ya kuambiwa kuwa angeweza Kukamatwa hasa baada ya baadhi ya Waumini waliokuwa Wakisali pale Kwake kulalamika kuwa Wametapeliwa nae sana huku...
Kwanza hujazana kwa wingi Kituoni iwe Mwenge Tazara,Mwananchi Relini
Tabata Baracuda,Segerea,Temeke,Mtoni Madafu Chanika,Mbande na kwingineko ambako ni rahisi kusimamisha daladala
Na wanakuwa...
Mojawapo ya ajira ndani ya jiji lolote ni udereva... Udereva wa mashine mbalimbali, udereva wa magari makubwa na madogo na udereva wa mabosi
Ukiachana na kigezo cha leseni vigezo vingine...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (MB) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 6(2)(a-g) cha Amri ya Uanzishwaji wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi...
Kufuatia Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kudaiwa kuviondoa kwenye orodha vituo vya kupigia kura vilivyokuwa kwenye Tarafa ya Ngorongoro na kupelekea hali ya sintofahamu kwa wakazi wa maeneo...
Kiboko ya Wachawi amesema alipewa saa 24 kuondoka nchini na kumwacha mkewe na Watoto wawili pamoja na maelfu ya Waumini wake
Kiboko ya Wachawi amemuomba Mpendwa Wetu mh Rais Samia aingilie Kati...
Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie!
Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana!
Ukipita...
Kuna jamaa aliandika uzi wake unaohusiana na migogoro/vita ulimwenguni na kusema kuwa yupo tayari kujibu maswali yote yanayohusiana na vita ulimwenguni.
Lahaullah Walakuwata! Wakatokea vijana na...
Hii itakuongezea maarifa, ukiota ujue nini ulichokiota, na maana yake, na namna utakavyoingia kwenye maombi juu ya hiyo ndoto.
1.WANYAMA:Kuota unakimbizwa na wanyama wakali inaasshiria...
Nimelinganisha salary slip za watu wawili tofauti, mmoja ana basic salari sh 2100000 analipa Kodi sh 412000, na mwingine basic salary sh 1100000 analipa Kodi sh 101000.
Je, Kodi hizi zina uwiano...
Habari zenu ndugu zangu.
Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa.
Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.