Huo Ndio Ukweli' Kwa mara ya kwanza Tanzania tumetoa Rais wa Mabunge ya Dunia mh Dr Tulia Ackson Mwansasu PhD
Nabii na Mtume Mwamposa mwenye Huduma kubwa zaidi ya Kiroho nchini
Na Sasa Rais wa...
Hii taasisi ya Legal and Human Rights Centre (LHRC) ilikuwa maarufu sana enzi ikiwa chini ya Helen Kijo-Bisimba lakini tangu aondoke ni kama haisikiki tena kwenye mambo makubwa na mazito ya...
Kama umavojua kwamba mama UMUT kaenda msibani na kuwa kwahuyo single mama mwenyewe tutoto tuwili siwezi asijeniwekea vya kuniwekea, Basi nkasema leo niingie mwenyewe jikoni nipike wali na...
Huu mji hauna fursa yoyote na watu wake ni washamba malimbukeni sana. Mpaka leo karne ya 21 wanaendekeza ukabila na hawawezi kuja kununua dukani kwako kama wewe siyo wa kabila lao.
Ni kwenye...
Mambo hayaendi maisha magumu usikate tamaa....
Mwenyezi Mungu ana njia tatu za kujibu maombi ya mtu.
1: "Ndio" anakupa unachotaka.
2: "Hapana" anakunyima kile unachotaka, na kukupa kile...
Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo.
Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa...
Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha...
Ni kipi kilichobaki kwa ajili yangu, mateso yaliyosalia au dhiki zilizobakia.
Ni kipi kilicho tumaini kwangu, kufoji amani moyoni mwangu au kutakatisha furaha nafsini mwangu.
Ni vita ipi hii...
by Farley Ledgerwood |June 25, 2024, 2:07 pm
Age has no bearing on success. In fact, many people find their stride in their 50s and beyond.
How do they do it? Well, it’s not about luck or a...
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimesali.kanisa la Wasabato mwenge wanahitimisha makambi ya mwaka 2024
Ndugu zangu kwa mara ya kwanza leo mimeshuhudia maombi maalumu yakifanywa kwa ajili ya...
Iko hivi watu wengi wanapeleka matatizo yao kwa Viongozi wa dini, Kata, Polisi, Mahakamani na hatq kwa wazazi.
Huku watasuluhishwa kwa upendo na amani na kuamini kuwa Jambo limeisha.
Kumbe watu...
Najua tumefanya mengi bila kujua kitu kiundani zaidi. Unakuja kugundua tatizo kumeishakucha, na hujui nini cha kufanya.
Nataka nikuambie kitu cha kufanya kipo, ila inahitaji utulivu wa kipekee...
Hili sio ombi.. ni amri. Haiwezekani vijana wadogo umri wa UVCCM na BAVICHA kuota vitambi visivyokuwa na maelezo ya kuridhisha halafu tuendelee kuwachekea. Kama huamini tembelea page za UVCCM...
Sabato ama ka neno lake asili la kiyahudi shabbāth ni neno lenye kumaanisha mapumziko
Mwenyezi Mungu kaweka amri ya kuitakasa siku ya Sabato ndani ya zile amri 10, ni jambo kubwa sana kwetu, Ni...
Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki..
Kasoro alizozitaja kisheria...
Nianze kwa kusema tu hii nchi ina pesa za mchezo. Maendeleo yanacheleweshwa kwa makusudi lakini fedha zipo.
Ni Jambo lisilopingika kwamba Serikali inatamani sana kuviweka vyama vya kitaaluma...
Wachawi kabla ya " kupeleka majeshi" ( kupiga Bomu la kichawi ) huwaga wanaanza kwanza kutumia silaha ya maneno kwa sababu kutumia silaha za kichawi ni gharama.
(kwanini watume risasi" uchawi"...
Ameyasema hayo leo Julai 26/7/2024 baada ya kushinda kesi yake
Baada Mahakama kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS
Hapo awali, Wakili...
Kesi ya Boniface AK Mwabukusi kupinga kukatwa kwenye Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society kutolewa hukumu leo pale Mahakama kuu ya Tanzania
Jumaa Mubarak 😃
----
Mahakama Kuu ya Tanzania...
Siongezi neno wala mimi si mkalimani
===
Alichozungumza kwenye video hiyo, ni kuhusu Africa kutoza kodi kubwa ambazo zinaua uwezekano wa maendeleo kwa kuwa zinaua hata uwekezaji. Suala hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.