Habari ya za majukumu wakuu, mwaka jana Jeshi la uhamiaji Tanzania waliitisha mkutano katika kijiji cha Vuo wilayani Mkinga ili kuelezea wananchi wa kijiji hicho juu ya adhma yao ya kuongeza eneo...
Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote.
Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote...
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila...
Leo Agosti 2, 2024, JamiiForums (JF) imepata ugeni kutoka Ubalozi wa Ufaransa ukiongozwa na Naibu Balozi Axel Guillon ambaye amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi pamoja na Watendaji wa JF...
Hii ni kwa wale ambao hawawezi kufanya kitu chochote bila kushirikisha marafiki.
Umezungukwa na kundi la watu kiasi kwamba huna maamuzi yako binafsi.
Ukipata pesa unawashirikisha, ukipata...
1.Wafanyabiashara wa mabasi
Mfano ndugu Ahmed Shabiby aliwahi nukuliwa kwenye mahojiano kwamba basi lake la kwanza alimiliki akiwa na miaka 19. Bila shaka mpaka sasa ana uzoefu mkubwa mno, na ni...
MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Atimiza Ahadi yake ya kuchangia Mifuko ya Saruji Ishirini (20) kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Shule ya Msingi Majengo...
Nadhani ni kama mwaka mmoja sasa umepita kulikuwa na kijana alikuwa hewani kupitia redio mojawapo akasema yuko mbioni kutengeneza metaverse yake (virtual universe). Sijasikia lolote.
Kutoka kwa Pd. Titus Amigu:
NI MTEGO MBAYA MNO
Katika suala la baraka mgogoro ni kwamba mashoga na wasagaji ni WANAHARAKATI (ACTIVISTS). Ndiyo maana watakuja kanisani kuomba baraka...
Ni kweli kabisa tunakumbana na matatizo makubwa sana ambayo kwa namna moja ama nyingine likikufika unaweza ukaona kuwa sasa umekwisha.
Yani unaona kabisa hapa sitoboi hata iweje.
Ngoja nikuambie...
Kutoka katika Ukumbi wa JKCC uliopo jijini Dodoma, mawakili wa Tanzania Bara wamekusanyika kwa ajili ya zoezi muhimu la kupiga kura kuchagua Rais, Makamu wa Rais, na viongozi wengine wa Chama cha...
Habari zenu ndugu,
Kutoka Dar, askari wa JWTZ apandishwa Kizimbani Kwa Kukaidi Amri Halali ya Askari Trafiki wakati akitekeleza Wajibu wake.
Hii safi sana, lazima ieleweke kwamba utii wa Sheria...
1.Watu wengi wanajishughulisha na kilimo wanaamka saa 10 alfajiri kwenda mashambani.Pia ng'ombe zinatumika kulima
2.Ni kawaida kukutana na wazee mababu na mabibi
3.Watu wengi wanaongea lugha za...
Hivi mabibi afya na mabwana afya nchi hii wapo kweli?
Ripoti ya wafaransa imeeleza Kwa kina mama ntilie Tanzania ni wachafu kuanzia kutooga, vyombo hawaoshi vizuri na ripoti imesema mama ntilie...
Hello!
Naongelea ajira wazi kwa wazazi hadi sasa ambazo zipo wazi hadi sasa duniani kwa watoto wetu. Usimlazimishe mtoto wako apate A class ambazo hazina maana mbeleni maisha mwake; Cheki na hizi...
Treni za Mwendokasi ni treni nzuri sana, in short they are comfortable and fast. Lakini kama mwanaharakati, I haven't noticed many obligations but recently people in the social medias wameleta...
Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu nchini Tanzania ni mkubwa sana kwa kukuza ufaulu na maendeleo ya wanafunzi kwa njia zifuatazo:
1. Kuboresha Ufahamu wa Kisayansi: Kujifunza...
Wakuu mlioingia kwenye huu mtego wa kuwafanyia survey hawa jamaa online tukutane. Email zao wanasema wanalipa nusu dollar ukimaliza lakini ukifanya hamna unachopata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.