Hii iko wazi kabisa kuwa Marafiki wengi husalitiana Mume kwa Mke.
Malalamiko ya marafiki kugeukana yamekuwa mengi kipindi hiki.
Hata mahakamani kesi nyingi ni za watu ambao waliwahi kuwa marafiki...
HAYA NDO MABORESHO YA MTAALA WA ELIMU YANAYOENDA KUFANYIKA TANZANIA KATIKA JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMU
Habari za mchana WanaJF
Katika kuboresha elimu, Hivi karibuni serikali ilitangaza...
RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora
Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani...
Habar wana JF.
Leo nataka tujadili jamani. Kuna huu wizi unaoendelea mtaani kuhusu hawa wasajili laini.
Wanajifanya wanasajili laini lakini wanaliza watu kila siku kupitia ile mbinu yao...
Wakuu,
Tls waomba radhi kwa post waliyoweka kuhusu uchaguzi kuisha, wasema zoezi la kupiga kura litaendelea kwa muda wa saa moja kuanzia saa 07:20 mchana hadi 08:20 mchana.
Kwa nia njema kanisa nataka kujifunza.
Kwani nashindwa kuchanga kuona uvumilivu huu wa ndugu zetu. Ninyi ni watu safi kwa sababu Mungu wenu kwa kukusaidia aliamua atundikwe msalabani kwa ajili ya...
1. Wenzetu sijui huwaza nn? Yaan mradi wa SGR uendeshwe na TRC? Kutoboa Sana miezi 6 kila kitu kitakua Mochwari.
2. Tafuteni mwekezaji mwenye uzoefu wa hizo kazi. Gautrain South Africa zaidi...
Kuna mchezo siku hizi unachezwa nafikiri ni makusudi na wafanyakqzi wa TRC ili kutengeneza mianya ya rushwa.
Sasa hivi TRC wameweka utaratibu mzuri sana wa kukata ticket kwa njia ya mtandao, ki...
Habari wanajamvi,
Kwa muda sasa Kuna mambo ya kitapeli hufanyika waziwazi bila matapeli hao kuchukuliwa hatua
Kwenye Kona mbalimbali ya jiji hili hususan karibu na maeneo ya stand kuu, Kuna watu...
Kwa kutambua juhudi za walevi kwenye uchumi, 2/8 ni siku ya Bia Duniani.
Natoa salute Kwa walevi wote Kwa juhudi zao za kukuza Uchumi Kupitia unuwaji bia ambapo Kwa Tanzania Mapato kutokana na...
Wakuu ni mwezi sasa tangu nijiunge na chama cha wapangaji. Sasa naona kasheshe ya kukaa nyumba moja na wanafunzi plas mdada ambaye pesa yake kutoa mpaka bwana wake amzingatie.
Watu wanakera sana...
Toka taasisi hii imeanzishwa sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi?
Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku...
Wakuu,
Tumeendelea kuweka taarifa kama tunavyozipokea, kama mlivyoona zoezi la kupiga kura limesimama kwa muda mpaka wakati huu naweka uzi huu hapa kutokana na karatasi za kupigia kura kupelea...
Comrade wetu katika umoja wetu wa wa fanyabiashara za umachinga wakubwa kapata tatizo kubwa la kia afya ya kindeney trans-plant uko Appolo india, medical bill pamoja na vifaa tiba, usafiri wa watu...
Ni muda sasa wakazi wengi wa maeneo Ilala ikiwemo boma, Amana, Bungoni, Sharifu Shamba, Malapa na Buguruni Rozana tunateseka na kero ya wanaoendesha pikipiki zenye milio ya juu wakati wa usiku...
Kutokana na Soko la Kijichi lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.