Shalom,
Ndugu zangu January Makamba na Nape Nnauye kwa niaba yangu mimi na wenzangu wengine na wanachama wa CCM, sisi baadhi yetu bado tunawapenda na tuna imani kubwa nanyi na mioyo yetu bado...
Hakuna kitu kinaninyima raha maishani kama kuzaliwa peke angu kwenye tumbo Moja🥺
Najua ni mipango ya Mungu ila huwa naumia sana.
Natamani ningekuwa na ndugu wa damu hasa wa kike wa kushare nae...
Kwa yanayoendelea kuhusu mradi wa SGR kuanza kwa kusuasua hatua za awali kabisa hii ni hujuma kwa Rais kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu
Figisu zimeanza mapema mno na hii yote ni kutaka...
Wakuu, wazee wa nature.
Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.
Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya...
Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma.
Ukinunua sukari dukani umenunua bidhaa, ukipanda ndege au treni umenunua huduma ya usafiri.
Huduma za serikali zisiache kuchukuliwa...
Wakuu mimi nipo Bariadi mitaa ya Gamboshi huku.
Ningependa kujua kwa mlio tumia SGR by experience Dar to Moro na Moro to Dodoma ni masaa mangapi?
Na nauli ni Tsh ngapi ?
Watu wa Mwanza Bariadi...
Hizi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini ngoja niwape point yangu.
Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo...
Huwa nakaa najiuliza kwanini watu wanamchukia tajiri mtoto Chief Godlove ndio nikaamini kweli masikini huwa mnakuwa kama wachawi yaani juzi kawasaidia kina mama ila masikini baadhi wanampiga...
Nimejiuliza sana, mawakili wa serikali wana umoja wao unaitwa TPBA (Tanzania Public Bar Association) yaani umoja wa mawakili wa serikali Tanzania, na wana Rais wao. Upande wetu TLS ukiongea...
Yaani ukiwa na kiwanda au kmpuni uliyowekeza mabilioni ukitaka kufilisika wewe weka Ma CEO wabongo utaona chamoto
Mwendokasi tokea inaanza pale wangetafuta CEO Muhindi, Kitengo cha mapato unaweka...
Dkt. Gwajima D Wasalaam,
Ni tatizo la kawaida kwa watu wazima kupoteza uwezo wa kiakili au kupoteza kumbukumbu kadiri umri unavyokwenda. Hata hivyo kwa baadhi ya Watanzania hili suala...
Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi?
Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku...
Madereva wa mabasi ya kwenda mikoani katika Mkoa kilimanjaro wameeleza ya kuwa hawajui kwanini hadi sasa hawajaamishiwa kwenye stand mpya.
Baadhi ya Madereva ambao nimezungumza nao wanaeleza...
Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku.
Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo...
Nimekuletea kitabu hichi Cha darasa la saba utakubaliana na mimi shughuli nyingi zinazofanywa na watanzania wengi kwa sasa
Napendekeza somo hili lingeanza kufundishwa wanafunzi wa secondary...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapendwa asubuhi hii nawaletea mojawapo ya salaam Bora za siku ya leo ya ijumaa tukufu:
"Jumma hii iliyobarikiwa na ikuletee amani, furaha, na baraka nyingi maishani...
Shalom,
Professor Tibaijuka asante kwa kuweka jambo bayana ambalo awaye yeyote ni anafahamu ya kwamba mkataba mbovu, jambo chafu, jambo la aibu hufichwa.
Bora lawama kuliko fedheha, taifa lolote...
Ifike hatua tuwe na adabu,
Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.